Ubungo bus terminal

Ubungo bus terminal Kwa usafir wa kwenda na kurudi tanzania nzma wasiliana na 0653388979 +0686963556.0755388979

mechi ilikuwa nyepesi tunaenda kupoteza kocha licha ya kuzungukwa na wachezaji mahiri bado anaenda kuipa mechi ugumu kwa...
07/02/2026

mechi ilikuwa nyepesi tunaenda kupoteza kocha licha ya kuzungukwa na wachezaji mahiri bado anaenda kuipa mechi ugumu kwa kukaa nyuma ya mpira,mbon Cairo tumepishana vzr tu,hivi hata huko tunakotaka kwenda hatuwezi kufika kwa aina ya mwalimu km huyu,timu haina speed ,means timu km haina speed huwezi kufanikiwa kweny plan b counter attack au one v one,timu ni nzito kutoka chini ,timu hujui inacheza kwa mpangilio upi,rotation sifuri km amekuja leo mechi hizi fanya km mtego tia watu wapya ,Pacome mechi imempalia anabaki kuikaba timu anashindwa kujua yey ndio icon anapoteza mipira anavyotaka na kocha unamuanglia tu ,leo umenikera na nmekukataa.

01/08/2025
01/08/2025

TVs 125 DPR INAUZWA 1800000 MBEZ MAGUFULI IPO HAIJAWAHI KUPIGA BODA KM 23564 IMETEMBEA 0653388979

Tumewasha Dar Mbeya sako to bako ogopa FIRE WAY sana chuma mpya hizo hapo shekilango/mbezi 6:00 mbeya mapema sana karibu...
21/05/2025

Tumewasha Dar Mbeya sako to bako ogopa FIRE WAY sana chuma mpya hizo hapo shekilango/mbezi 6:00 mbeya mapema sana karibuni ofisini kwetu ofis za shekilango mkabala na lango kuu la urafiki ACN ofis tupo hapo 0657713585 kwa usafiri wa uhakika mbexi tucheki 0755388979 KARIBU SANA FIRE WAY

05/03/2025

MABUS YAKIANZA SAFARU Premier YA (GONJA )NA ABC (DODOMA KUTOKA KITUO CHA MABAS MAGUFULI

05/03/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Asenal Damu, Juma Leta, Joshua Abel Nshemetse

Gari mpya handeni hizo hapo ksk luxury coach mapema kutoka dar saa 11 alfajir kugeuka handeni saa 4 chombo masafa handen...
20/02/2025

Gari mpya handeni hizo hapo ksk luxury coach mapema kutoka dar saa 11 alfajir kugeuka handeni saa 4 chombo masafa handeni kumenoga

06/11/2024

Karibu magufuli bus terminal

HAYA HAYA TUMEWASHA TENA DAR -MBEYA-MBALIZI Luxury bus route mpya FIKA URAFIKI PIGA 0657713585 KARIBUNI SANA MUDA SAA 8:...
05/10/2024

HAYA HAYA TUMEWASHA TENA DAR
-MBEYA-MBALIZI Luxury bus route mpya FIKA URAFIKI PIGA 0657713585 KARIBUNI SANA MUDA SAA 8: 00 MCHANA KUONDOKA SAA 9 : MBEZI MAGUFULI 0753649747 KARIBUNI SANA

Address

Mbezi Louis
Dar Es Salaam

Telephone

+255686963556

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ubungo bus terminal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share