Urembo College of Beauty and Fashion

Urembo College of Beauty and Fashion Developing skills and Knowledge through short courses and master classes in fashion designs, Tailoring and Beauty- We inspire, develop and nurture talents

14/12/2024
04/03/2023
27/02/2023

Yapo majira kwenye maisha yako utajikuta hauko sawa. Yaani maisha yanaendelea ila wewe mwenyewe ndani yako unajua kabisa HAUKO SAWA.

Ni kweli kwamba bado unavaa vizuri, watu wanakuona unatabasamu, unavaa unapendeza na unaenda ofisini, na hata kuna baadhi ya watu wanatamani kuwa k**a wewe ila HAWAYAJUI MAUMIVU YAKO.

Ukipita majira na kipindi k**a hiki kuna mambo 4 muhimu unatakiwa kufanya:

Moja ni kukubali kuwa kuna kitu haiko sawa, badala ya kuendelea kuigiza kuwa vitu viko sawa na kutaka kuwafurahisha watu, kuwa mkweli kwa nafsi yako kwanza.

Mbili, jiulize k**a kinachokusumbua unaweza KUKIBADILISHA au unatakiwa KUKIKUBALI TU,maisha yaendelee.

Tatu, unaweza kuamua kuchukua β€œBREAK”. Tafuta muda wa kupumzika na kujitafakari, jua chanzo ni nini. Aidha nenda sehemu au jitengenezee muda wa utulivu mwenyewe. Ukijisikia KULIA, fanya hivyo USIJIZUIE.

Mwisho tafuta mtu wa kuzungumza naye, unayemwamini. Hata k**a hana suluhisho, wakati mwingine DAWA unayoihitaji ni mtu wa KUKUSIKILIZA.

Tafadhali ukimaliza kuisoma nisaidie kuishare, ahsante sana kwa kufanya hivyo.πŸ™πŸ™πŸ™

Nakutakia mafanikio!

See You At The Top



Chuo Urembo na Fashion-0715680773
24/10/2018

Chuo Urembo na Fashion-0715680773

Chuo KipoTabata kimanga, 0715680773....fashion designing na urembo.
29/07/2018

Chuo KipoTabata kimanga, 0715680773....fashion designing na urembo.

MWANAFUNZI FESTIVALJUNE 29- UKUMBI BCIC MBEZI BEACH...... KITUO JOGOO.. MATANGAZOKila siku: Radio WAPO 98.1 FM.. Kila si...
27/06/2018

MWANAFUNZI FESTIVAL
JUNE 29- UKUMBI BCIC MBEZI BEACH...... KITUO JOGOO..

MATANGAZO
Kila siku: Radio WAPO 98.1 FM.. Kila siku matangazo
Alhamisi June 28: Radio WAPO FM-kipindi Meza ya busara....saa 4 mpaka 6 mchana
Ijumaa June 29.. SIKU YA TUKIO: TBC 1..asbh saa 12 mpaka 12.

Habari watanzania wenzangu.
Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha katika Tamasha la Mwanafunzi(Mwanafunzi Festival) awamu ya pili,ambalo litafanyika Ijumaa wiki hii,BCIC Mbezi Beach,unapitia/kushukia kituo cha Jogoo karibu na Interchick. Tamasha litaanza saa mbili mpaka saa 10 Jioni. Mwaka jana tulikuwa na wahudhuriaji wapatao 1,958(waliofika na kujiandikisha kwenye daftari).
KWA UFUPI. Vijana wetu,waliowengi hawajui wanawezaji kufanikiwa katika masomo yao wawapo shuleni ili wafaulu kwa kiwango cha juu ndio MAANA tunawaletea WANAFUNZI WALIOONGOZA KITAIFA ili watuambie walitumia mikakati gani,waliishi maisha gani wakiwa wanafunzi yaliyowafanya VINARA.
Elimu,ni njia mojawapo ya kumfanya mwanadamu awe na taaluma Fulani,mfano Mhandisi,Mwanasheria,Mhasibu, Daktari n.k. Je Mwanafunzi atumie vigezo gani kuweza kujua asomee nini ,kile ambacho kinaendana na kipaji chake ili afanikiwe na aweze kuishi maisha mema. Kwenye kongamano,ndio maana utakutana na wataalamu waliobobea katika fani mbalimbali.
Pamoja na hayo,je watoto wataweza wenyewe bila wazazi? Kila mzazi ana nafasi ya kumuwezesha mtoto wake. Je mzazi afanye nini katika kizazi hiki na wakati huu tunapoona muda umekuwa changamoto?
Kongamano litakuwa na wazungumzaji wengi,ambao ni pamoja na Joel Nanauka( Mwanafunzi bora-kidato cha Nne 2002 na mhamasishaji maarufu), Lusekelo Kibona-Mwanafunzi Bora kidato cha sita 2002 na Mwanafunzi wa PHD, Rais wa DARUSO-Mlimani , Mchumi Ahobokile Mwaitenda, Dr. Lurakuze kutoka Muhimbili, Mwalimu Mkwachu, Mkufunzi na mtaalamu wa Elimu Adam Mnyavanu, Christopher Andendekisye-mkurugenzi wa Mwanafunzi Clinic, Allen Kimambo- Mkurugenzi na Mwanzilishi wa wa Zaidi Recyclers na Championi wa TakaNi Ajira; pamoja wanafunzi wengine walioongoza Kitaifa na wengineo wengi.
ENDELEA KUSIKILIZA WAPO RADIO.

WAJULISHE NA WENGINE. Kwa maelezo zaidi... 0653234010

Tunaendelea kupokea wanafunzi wa urembo(salon,make up,kusuka nk) pamoja na fashion designing na ushonaji.pia tunashona n...
14/08/2017

Tunaendelea kupokea wanafunzi wa urembo(salon,make up,kusuka nk) pamoja na fashion designing na ushonaji.pia tunashona nguo aina zote.Piga Simu 0653 234010/0715680773

23/01/2017
OMBI/TANGAZO. Marafiki habari za kutwa. Napenda kuchukua fursa hii kuwaomba kwa dhati kabisa muweze ku-share tangazo hil...
27/10/2016

OMBI/TANGAZO.
Marafiki habari za kutwa. Napenda kuchukua fursa hii kuwaomba kwa dhati kabisa muweze ku-share tangazo hili kwa wingi kadri muwezavyo,na Mungu awabariki.
Chuo cha True Road kinatoa mafunzo ya Fashion designing na Pia Beauty( salon and cosmetology).
Chuo kipo Tabata Kimanga. Pia tunashona nguo za aina zote. Na kwa makubaliano na uratibu unaweza kufuatwa popote ulipo. Kushona tunaanzia 25,000 kwa gauni. Pia tunahudumia maharusi, tunafunga maremba n.k
TUNAAMINI KWA WEWE KUSAMBAZA TANGAZO Hili utamsadia mtanzania mwenzako kuweka kupata ujuzi wa kujiari mara moja.
Tafadhali sambaza kwenye whatsap groups zako na pia kwenye fb page/groups.
Mawasiliano 0715 680 773; www.trueroadtz.com
NB: (kwa kila anayeleta mwanafunzi au mteja anapewa commission)

CHUO-FASHION DESIGNING & SALON -ADA 100,000 kwa mwezi kwa-TUPO TABATA KIMANGA, 0715 680773
26/07/2016

CHUO-FASHION DESIGNING & SALON -ADA 100,000 kwa mwezi kwa-TUPO TABATA KIMANGA, 0715 680773

Tunafundisha fashion designing na kushona Tabata KIMANGA na Da west
18/10/2015

Tunafundisha fashion designing na kushona Tabata KIMANGA na Da west

Address

P. O BOX 72653, TABATA DAR WEST
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Urembo College of Beauty and Fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Urembo College of Beauty and Fashion:

Share