Viwanja na Nyumba Tz

Viwanja na Nyumba Tz KOPA UFUNDI COMPANY.Tunakopesha gharama za ufundi wa ujenzi,mteja anatakiwa kuandaa materials then k

Tunakopesha gharama za ujenzi kwa nyumba nzima au kwa hatua fulani .mteja analuhusiwa kuingia mkataba wa kupigiwa bati au kujengewa msingi,boma au finishing. MASHARTI ,Kujaza mkataba maalum ulioandaliwa kisheria mbele ya mwanasheria au kuiacha hati,barua ya umiliki au hati ya makazi kwetu mpaka utakapokamilisha Marejesho. Au vyote kwa pamoja inategemea na chaguo la huduma unayotaka. Unakiwa kulipa

pesa ya advance ,hii ni baada ya makubaliano ya kisheria.pia unaweza kupata mkopo kwa bank zetu washirika

Address

Kijichi Ccm
Dar Es Salaam
9999

Telephone

+255718593224

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwanja na Nyumba Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share