13/06/2026
Hello👋🏾 Wapenzi Wa Mavazi Mazuri!
●●●Leo Tumewaletea Jezi Nzuri Kabisa Zinazotamba Wakati Huu Kwa Vilabu Na Timu Za Taifa.
■■■Tunazo Za Vilabu Kwa Msimu Ujao Wa 2026/2027 Kwa Timu Zote Pendwa Duniani Na Za Mataifa Mbali Mbali Zinazotumika Katika Msimu Wa KOMBE LA DUNIA😱
●●●Tunakukaribisha Dukani Kwetu Au Unaweza Kutupigia/WhatsApp Kwa Namba +255 757 222 333 Tuweze Kukuletea Popote Ulipo Kwa Gharama Rafiki Kabisa.
■■■Njoo KINJEJUNIOR EMPIRE Uweze Kupendeza Kwa Gharama Ndogo Zaidi Ambayo Hautoipata Popote Na Kwa Wale Wanunuzi Wa Jumla Pia Hatujawacha Kwani Tunazo Jezi Za Jumla Elfu 20 Zenye Quality Nzuri Sana Na Huku Rejareja Tukiziuza Kwa Elfu23 Tu.
●●●Tunapatikana Kariakoo Dar Es Salaam Karibuni Sana Wateja Wetu KWANI TUMEJIPANGA KUWAPENDEZESHA😊
🏃🏾🏃🏾🏃🏾