16/07/2024
Epuka usumbufu WA kunyonya mashimo ya Choo Kila mara,
Njoo tukuhudumie kwa kupata mashimo Nora na ya kisasa yasiyojaa na hayachukui nafasi pia,yanachukua nafasi ndogo,na pia unaweza Fanya hata parking ya gari zako juu yake
Yanafanya kazi kwa uhakika na kwenye mazingira Aina zote (kwenye ardhi kavu hata zile zinye water table pia)
Epuka matapeli njoo HERAM SEPTIC SOLUTIONS tukupatie huduma iliyo Bora na ya viwango vya juu.
Mawasiliano zaidi piga
+255 754 061 112
+255 714 661 167