23/08/2025
Vifaranga vinapatikana kwa tsh 1800@
Karibuni Sana na pia tunatoa na ushauri,
Mayai pia yapo treyii 18000
na vifaranga wenye mwezi mmoja wanapatikana pia
Tunapatikana ukonga (dar es salaam)