Derick General Supply

Derick General Supply supply of aggregate,sand, stones, rubbles and all kinds of building materials/ construction machines. Vifusi vya aina zote
2. Udongo
3. Mchanga
4.

Derick General Supplier ni kampuni inayohusisha Wauzaji na Wasambazaji wa;
1. Kokoto

Vilevile tunatoa huduma ya;
- Marola
- Matingatinga(Bulldozer)
- Greda (Kijiko)
- Ikiwa ni pamoja na usawazishaji wa viwanja vya aina zote

Zote mbili zinauzwa 4.9 million hazina kipengele….. Gari unawasha na kuondoka.
06/09/2021

Zote mbili zinauzwa 4.9 million hazina kipengele….. Gari unawasha na kuondoka.

Our main office at Ubungo.
24/06/2019

Our main office at Ubungo.

07/02/2019
10/12/2018

Ni tarehe 22/12/2018 pale itakapo chezeshwa droo kabambe na kumpata mshindi wa laki tano au vifaa vya ujenzi cheza sasa!

Leo ndo siku pekee ambayo ukifuata maelekezo waweza badili maisha yako na sikuku yako ikawa mulwaa kabisa, ni rahisi san...
03/12/2018

Leo ndo siku pekee ambayo ukifuata maelekezo waweza badili maisha yako na sikuku yako ikawa mulwaa kabisa, ni rahisi sana unacho takiwa kufanya NI👇👇👇

✒Nenda moja kwa moja DERICK GENERAL SUPPLY page (ukurasa), Instagram au Facebook.
✒Like page ili iwe rahisi kukuona/kukuorodhesha kwa washindanao.
✒invite(alika) watu wasio pungua watano(5) na kuhakikisha wana like page(ukurasa).
✒Tafuta picha uzipendazo ndani ya page, share na watag marafiki bila kusahau kunitag mimi mwenyewe na hakikisha unapata likes zisizo pungua tano tu.

Hapo utakua umeingizwa kwenye kinyang'anyilo cha kujinyakulia Tsh.500,000/= (laki tano) au vifaa vya ujenzi au vyote kwa pamoja.
Droo hii itachezeshwa ijumaa ya tarehe 21/12/2018 na zawadi kutoka tarehe 22/12/2018. Wahi sasa uwanja ni wako.

Poza machungu ya sikukuu na
For more info:-
📞+255 654 547 699.
📩[email protected]
📷derick general supply.

Follow page yetu DERICK GENERAL SUPPLY kwenye mitandao ya kijamii Instagram and Facebook kusubiria droo kabambe itakayo ...
17/11/2018

Follow page yetu DERICK GENERAL SUPPLY kwenye mitandao ya kijamii Instagram and Facebook kusubiria droo kabambe itakayo anza tarehe 3/12/2018 waweza jishindia kifaa kimoja wapo cha ujenzi au pesa taslimu. endelea kua karibu nasi

Address

Sinza
Dar Es Salam
SINZALEGO

Telephone

+255765799692

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Derick General Supply posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Derick General Supply:

Share