OBRI Tanzania

OBRI Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from OBRI Tanzania, Business service, Dar es Salam.

28/03/2020

As humankind, we all need to work together so that tomorrow looks a little bit better.
Stay Safe.

05/02/2020

Moja ya changamoto katika sekta ya kilimo na chakula ni uagizwaji wa mafuta ya kula kutoka nje inayogharimu Taifa kati ya bilioni 400 mpaka bilioni 675 kila mwaka.
Uagizwaji huu wa mafuta unafanywa wakati nchi inao uwezo wa kuzalisha mazao mengi ya mafuta k**a vile michikichi, alizeti, karanga, soya na hata pamba. Japokuwa juhudi za kuimarisha viwanda vyetu vidogo vya ndani pamoja na kuwapa mafunzo stahiki kwa wakulima hasa wadogo wa zao la alizeti zinaendelea kufanyika, changamoto bado ni kubwa.
Upatikanaji wa mbegu k**a malighafi kulisha viwanda vya ndani bado umekuwa hafifu.
Suluhisho la kudumu linaweza kuwa sio tu kwenye kuongeza viwanda vya ndani bali ni kuwekeza zaidi kwenye kuzalisha mbegu zetu wenyewe. Uwekezaji kwenye kuzalisha mbegu zetu zitasaidia sana katika upatikanaji wa mbegu kwa wakulima wetu kwa bei nafuu zaidi na kwa uhakika. Hii itaongeza sana hamasa kwa wakulima wengi zaidi kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na hatimaye kujitosheleza katika uzalishaji wa mafuta k**a taifa. INAWEZEKANA!

Moja ya changamoto katika sekta ya kilimo na chakula ni uagizwaji wa mafuta ya kula kutoka nje inayogharimu Taifa kati y...
05/02/2020

Moja ya changamoto katika sekta ya kilimo na chakula ni uagizwaji wa mafuta ya kula kutoka nje inayogharimu Taifa kati ya bilioni 400 mpaka bilioni 675 kila mwaka.

Uagizwaji huu wa mafuta unafanywa wakati nchi inao uwezo wa kuzalisha mazao mengi ya mafuta k**a vile michikichi, alizeti, karanga, soya na hata pamba. Japokuwa juhudi za kuimarisha viwanda vyetu vidogo vya ndani pamoja na kuwapa mafunzo stahiki kwa wakulima hasa wadogo wa zao la alizeti zinaendelea kufanyika, changamoto bado ni kubwa.

Upatikanaji wa mbegu k**a malighafi kulisha viwanda vya ndani bado umekuwa hafifu.

Suluhisho la kudumu linaweza kuwa sio tu kwenye kuongeza viwanda vya ndani bali ni kuwekeza zaidi kwenye kuzalisha mbegu zetu wenyewe. Uwekezaji kwenye kuzalisha mbegu zetu zitasaidia sana katika upatikanaji wa mbegu kwa wakulima wetu kwa bei nafuu zaidi na kwa uhakika. Hii itaongeza sana hamasa kwa wakulima wengi zaidi kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na hatimaye kujitosheleza katika uzalishaji wa mafuta k**a taifa. INAWEZEKANA!

07/06/2019

Improving Africa’s agriculture and agribusiness requires us to diversify our planting systems and crops. We can feed ourselves while tapping into booming market of beans, cassava, rice, oil, sugar and emerge as major exporters of food commodities globally.

Mvua zimechekewa maeneo mengi ya nchi na kusababisha wakulima kubaki njia panda hasa kwa wale walio weka mbegu ardhini w...
30/03/2019

Mvua zimechekewa maeneo mengi ya nchi na kusababisha wakulima kubaki njia panda hasa kwa wale walio weka mbegu ardhini wakisubiri mvua kunyesha. Kwa upande wa zao la alizeti, ni zao mojawapo lenye kustahili ukame na linahitaji mvua kidogo hasa wakati wa uotaji na siku 20 baada ya kutoa maua. Ipo haja ya kuwekeza zaidi katika takwimu za vipindi sahihi vya mvua na kwa kiwango gani katika mikoa yote nchini ili wakulima wajipange na hata wathubutu kulima mazao mengine yenye kustahimili ukame k**a vile alizeti na kujipatia kipato cha ziada huku wakisubiri msimu wa kupanda mazao waliyozoea pindi mvua zinapochanganya.

25/02/2019

Amazing benefits of sunflower oil. Due to its wide range of benefits for health, skin and hair, sunflower oil is considered as one of the healthiest oils and is generally preferred over other heavier oils like coconut, almond, safflower and olive oils

29/11/2018

Msimu mpya wa alizeti umefika na wakulima wetu wamehamasika sana kuongeza nguvukazi kufuatia faida walizozipata msimu uliopita katika kilimo hichi. “Alizeti ni hela tupu” -maneno ya mzee Omari mkulima kiongozi kijiji cha Ng’ambo

26/10/2018

Ni faraja kubwa kushirikiana na wakulima wenye uelewa mpana kwenye kilimo cha alizeti na wenye utayari wa kuleta mabadiliko katika sekta hii k**a watawezeshwa zaidi. Tunaamini ushirikishwaji wa wakulima katika mipango yote ya kilimo ni nyenzo kubwa ya kuleta mabadiliko tunayoyatazamia.

13/10/2018

Hii ni mashine ya kuvuna alizeti yenye uwezo wa kuvuna hadi hekari 70 kwa saa moja. Katika dunia ya sasa kilimo cha mashine ndicho kilimo chenye kuleta tija na kuweza kuwaondoa wakulima wetu hasa wa alizeti kutoka katika kipato cha chini na kwenda kwenye kipato kikibwa zaidi. Tukiwa na lengo la kujitosheleza kwa soko la ndani na baadae kufikia soko la mafuta ya kula nje ya nchi yetu basi hatuna budi kuanza kuwekeza katika kilimo cha mashine na kuchana na kilimo cha mkono. Tuko tayari kufanya kazi na wakulima wetu wadogo kufikia ndoto hii. Inaanza sasa 🌻

Address

Dar Es Salam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OBRI Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share