17/08/2021
☀️Sajili kampuni yako au jina la biashara (Business name ) kupitia mfumo wa Brela online registration ofisi zetu tunatoa huduma zifuatazo:
1.kusajili kampuni au jina la biashara (business name) kupitia Brela online registration kwa ada ya bei nafuu
2.updating company na updating Business name/jina la biashara(kwa Kampuni /jina la biashara zilizosajiliwa mfumo wa zaman chini ya mwaka 2018 wanabid wapate update ili Kampuni yao iingie kwenye mfumo mpya wa online. Pia tunafanya share transfer
3.Kufile annual returns Brela kwa kampuni kwenye mfumo wa online
4.kufuatilia kibali cha benki kuu tanzania (bot) kwa kampuni za kukopesha (micro finance company) kulingana na sheria mpya ilitungwa na serikal kuwa huduma ndogo za kifedha kusimamiwa na bot(bank of Tanzania/benki kuu tanzania)
5.Tunakusaidia kupata leseni za daraja la kwanza Kwa njia ya online
6.Tunasajili trade mark ya biashara
7.Tunasajili NGOS na tunatengeneza company profile
8.Tunaandaa Tender document (vitabu vya tenda) kwa Kampuni ili iweze kupata tenda Mbalimbali
9.Tunatoa huduma online passport na visa application
10.Tunatoa huduma ya work and residence permit kwa foreigners
11.Tunatoa ushauri na elimu wa jinsi ya ulipaji kodi tra na elimu ya kampuni na uendeshwaji wake
LOCATION:
💥OFISI ZETU ZIPO DAR-ES-SALAM
Mtaa wa Samora/Azikiwe Hifadhi house/NSSF building
MAWASILIANO
💥Namba ya WhatsApp 0783158281 or 0754022656
[email protected]
KARIBUNI SANA 🙏🙏