InnaBlaze Tanzania

InnaBlaze Tanzania Talent Scouts, Artist Managers and Event Management Talent Agents, Artist Managers, Record Label, Event Managers, TV Programs, Entertainment

Region in Blood: The War Needs to End Now ,  ,  ,
16/10/2024

Region in Blood: The War Needs to End Now
, , ,

Get a lesson...
04/02/2017

Get a lesson...

Big Sean stops by Funk Flex and drops bars in right before his new album drops! CLICK HERE TO SUBSCRIBE: http://bit.ly/12lN6vb HOT97:...

Supporting Talents
01/02/2017

Supporting Talents

The making of Legends  Juma Kassim
31/01/2017

The making of Legends
Juma Kassim

31/01/2017

Tarehe 17/05/2017, washirki wote wa tukio la Ride of Silence wataungana na wenzao dunia nzima kushirki zoezi la kuendesha baiskeli zao ama pikipiki kwa ukimya k**a ishara ya kuwakumbuka na kuwaenzi wahanga wote wa ajali za barabarani zilizosababishwa na waendesha magari. Ijapokuwa waendesha pikipiki na waendesha baiskeli wana haki sawa kisheria za matumizi ya barabara sambamba na wenzao waendesha magari, mara nyingi wamekuwa wakichukuliwa k**a kero barabarani hivyo kusababisha vifo na vilema vya kudumu. Tukio hili, pamoja na kuwakumbuka na kuwaenzi wahanga, pia litatumika k**a chombo cha kuhamasisha matumizi bora ya barabara. Ingawa duniani kote litafanyika tarehe 17/5/2017, nchi nyingi za Africa wataadhimisha siku hii tarehe 20/5/2017. Tukutane siku hiyo!

Address

Dar Es Salam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when InnaBlaze Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share