Fundi Dsm

Fundi Dsm Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fundi Dsm, Appliance Repair Service, Azikiwe Street, P. O BOX 5092 Dar Es Salaam, Dar es Salam.

Fundi bingwa wa kurekebisha Microwave, Blender,Pressure Cookers,Water Dispensers,Majiko ya Gas na Umeme, Cakemixer, Oven, Ricecooker nk: tunapatikana kisutu,karibu na kituo cha mwendokasi cha kisutu,ofisi ya serikali ya mtaa mtendeni, simu 0684017700 We repair and fix appliances such as Microwave,Food blenders,Oven, Range, Rice cookers, Pressure Cookers, Kettle,Iron, Toasters, Gas cookers, Electric Fryer and More..We will help you decide whether to buy new one or to get your old ones fixed.

12/08/2026

Je Umewahi kusafisha water dispenser yako?..
Hakikisha unasafisha dispenser yako mara moja kwa mwaka!.
Dispenser yako inaweza kuwa na ukungu, uchafu, bacteria, vumbi, mende nk!! Ndani ya mabomba yake na kusababisha hatarishi kwa afya yako.2
K**a Maji unayokunywa kutoka dispenser yako
🛠 yananukia harufu fulani k**a mayai
🛠 yana ladha tofauti kidogo
🛠 yanarangi au uchafu uki kinga maji.
Njoo tukufanyie SERVICE ya water dispenser yako kwa uhakika na yasiyotumia kemikali aina yoyote, na kuua bacteria kwa asilimia 99.9% na kukupatia maji safi na salama🍸☕ kwa elf 40 tu.
Pia k**a Dispenser yako halipashi maji moto? au linavujisha maji au halipozi maji? Au koki zimekatika, tunaweza kurekebisha...
Piga simu 0684017700 kwa maelezo zaidi.
Hii ni ya kwanza kutoka kwa Fundi Dsm🛠| Best Repair Shop 🔨|Kitchen Appliance Experts🛠🔧

12/08/2026

Pressure cooker yako ya India k**a design imepoteza filimbi? Au valve yake imetoboka? Au imekatika raba? haipigi filimbi??limeziba?linamwaga maji pembeni? Limevunjika mkono? Limetoboka?.
Njoo tukurekebishie pressure cooker yako k**a imeharibika..pia tunarekebisha gas cooker, ricecooker, blenda,pasi, birika, oven, dispenser.nk, kazi ya uhakika na huduma bora hujawahi onaa dsm!.
Piga simu 0684017700 kwa maelezo zaidi.
K**a unakuja na mwendokasi Tupo :.
Bombaywalla appliance repair
Usoni na LIBYA post office/ FURNITURE CENTRE KISUTU(karibu na kituo cha mwendokasi kisutu), duka la njano...
k**a unakuja na gari, tupo mtaa wa zaramo, mbele ta ofisi za channel ten, kisutu, dtv roundabout, usoni na choo cha kulipia, duka la njano..au google tu

12/08/2026

Utakosaje juisi msimu hii ya matunda?? 🍉🍇🍌🍍🥭.
K**a jagi lako la heavyduty linavujisha, linapiga kelele au inatoa gololi, njoo tukurekebishie, tukufungie spare mpya k**a hio:.
Kwa majagi ya lita 2 tuna visu quality 3 : kuna ya elf 25, elf 45 na elf 55 (japan).
Kwa lita 4 elf 75.
Meno za motor nyeusi mpya elf 15.
Simu 0684-017-700, karibu sana

12/08/2026

Ricecooker yako haiwaki? Inaweza kupona, simu 0684-017-700

12/08/2026

K**a Cake mixer yako imezima ghafla haiwaki? Au inatembea speed moja? Au loki imekatika? Ilete tukuchekie boss wangu.
Simu 0684-017-700, karibu sana

12/08/2026
12/08/2026

Je unatumia garment steamer kwenye biashara yako au kupiga pasi nguo zake? Unatumia maji ya bomba? Au ya kisima?.
Hakikisha unaifanyia service mara moja kwa mwaka, heater zake zinakufaa kwa sababu ya kujaa uchafu ndani kwenye mtungi na mabomba .
K**a garment steamer yako inasumbua, ilete kwetu tukuchekiea boss wangu.
Simu 0684017700

12/08/2026

K**a microwave yako
* haiwaki
*haipashi
*inapiga shoti
*sahani haizunguki
* inapiga kelele ya ajabu
* sahani imevunjika
* mlango haufungi

Ilete kwetu, linaweza kupona boss, simu 0684-017-700.
📍 k**a unakuja na mwendokasi. tupo kituo cha mwendokasi cha kisutu,mtaa wa zaramo, opp na choo cha kulipia cha city, au posta ya libya, au furniture centre.
📍Bombaywalla's Appliance Repair & Service
bolt/uber/google map

11/08/2026

RICECOOKER HAIWAKI KABISA? Inaweza kupona, simu 0684-017-700

Address

Azikiwe Street, P. O BOX 5092 Dar Es Salaam
Dar Es Salam
0000

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:30
Tuesday 08:30 - 17:30
Wednesday 08:30 - 17:30
Thursday 08:30 - 17:30
Friday 08:30 - 17:30
Saturday 10:00 - 13:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fundi Dsm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fundi Dsm:

Shortcuts

Share