kama hautaki acha

kama hautaki acha maneger

napenda sana kuwa muigizaji naanza na kuiga nnachofanya kwakuwa ntakuwa salama.
10/03/2022

napenda sana kuwa muigizaji naanza na kuiga nnachofanya kwakuwa ntakuwa salama.

20/05/2020

na wapenda wajasiria mali kwakuwa wanajipenda na wanapenda sana wateja wao vp unamiss nini wakati huu wa mapambano ya wajasiria mali wakizungu.

kwangu mimi naona sasa faida ya kuondoa pombe za makaratasi maarufu viroba . katika mazingira ya kawaida uchafu umepungu...
13/02/2020

kwangu mimi naona sasa faida ya kuondoa pombe za makaratasi maarufu viroba . katika mazingira ya kawaida uchafu umepungua , na wale walio kuwa wakevi wa jumla kwa sasa wamekaa kiustaarabu kidogo japo bado hawajawa k**a walevi wa bia.

31/01/2020

start your imposible 2020,
don't wory just do it

20/01/2020

FOREVER LOVING JAH

jinsi gani mtu unaweza kuwa na kitu au hali usiyo ipenda na ikakuweka kuwa na amani ni jambo la hatari sana unaweza ugua...
05/09/2019

jinsi gani mtu unaweza kuwa na kitu au hali usiyo ipenda na ikakuweka kuwa na amani ni jambo la hatari sana unaweza ugua ugonjwa usio na dawa
ya ndani #
#
**ahutakiacha #

Address

Dar Es Salam

Telephone

+255788238004

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kama hautaki acha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share