Farmbase Limited

Farmbase Limited Farmbase limited is dealing with importation, manufacturing and selling for farm inputs. Agro chemicals, veterinary drugs and seeds.
(1)

DROP-ON  (Deltamethrin 1%) DROP-ON ni ngao imara kwa mifugo yako dhidi ya kupe, viroboto, utitiri, nzi, mbung'o na wadud...
10/09/2026

DROP-ON (Deltamethrin 1%)

DROP-ON ni ngao imara kwa mifugo yako dhidi ya kupe, viroboto, utitiri, nzi, mbung'o na wadudu wengine wanaong'ata na kusambaza magonjwa.

Tumia DROP-ON kudhibiti magonjwa ya mifugo k**a vile;
🎯Ndigana kali
🎯 Ndigana baridi
🎯 Babesiosis
🎯Maji moyo n.k

DROP-ON ni rahisi kutumia: dondosha matone matone kuanzia katikati ya pembe mpaka kwenye shina la mkia ukifuata msitari wa mgongo!

🎁 Inapatikana katika ujazo wa 250ml na 1L

Farmbase Limited, The Quality You Can Trust 📌

Baka jani wahi (Early Blight)Ni ugonjwa wa ukungu (Fungus) unaoshambulia mimea k**a nyanya na viazi Ugonjwa huu huonekan...
10/09/2026

Baka jani wahi (Early Blight)

Ni ugonjwa wa ukungu (Fungus) unaoshambulia mimea k**a nyanya na viazi

Ugonjwa huu huonekana k**a madoa ya kahawia au rangi ya ugoro yenye umbo la duara kwenye majani

Majani huoza, kukauka na kuanguka chini k**a ugonjwa utaendelea.

Hutokea zaidi kipindi cha jua na joto.

Udhibiti
1.Ondoa na choma majani yenye maambukizi na fukia mabaki ya mazao baada ya mavuno.

2.Panda kwa nafasi sahihi ili kupunguza unyevu mwingi kwenye mimea.

3.Pulizia kiuakuvu bora cha AZOKICK 325 SC (Azoxystrobin 200g/L + Difenoconazole 125 g/sc) kutoka FARMBASE LIMITED chenye nguvu ya kutibu na kukinga mazao yako dhidi ya ugonjwa wa Baka jani wahi.

Matumizi: Ml 30 kwa lita 15 za maji.

📍 Tembelea ofisi yetu, iliyopo Ilala ~ Amana Dar es salaam, kwa bidhaa, ushauri na huduma mbalimbali za Kilimo na Mifugo, au wasiliana nasi kwa simu namba.
📱 0754290330, 0784290330

*Farmbase limited, ubora uliothibitishwa ✨*

TIKTIK Kiboko ya Kupe, Viroboto Mbung'o na Ukurutu!🏆Je, unatumia dawa gani kuogeshea mifugo yako? Jaribu sasa TIKTIK upa...
09/09/2026

TIKTIK Kiboko ya Kupe, Viroboto Mbung'o na Ukurutu!🏆

Je, unatumia dawa gani kuogeshea mifugo yako? Jaribu sasa TIKTIK upate suluhisho la kudumu!

TIKTIK ni dawa bora yenye kiambata cha Amitraz 12.5% maalum kwa kudhibiti na kuua wadudu wanaosumbua mifugo.

Kwanini Utumie TIKTIK
✅TIKTIK ina uwezo Mkubwa: Inaua wadudu wadogo na wakubwa kwa haraka.
✅TIKTIK ina Ulinzi Endelevu: Inakaa muda mrefu mwilini mwa mnyama.
✅TIKTIK Inabana Matumizi: Dawa kidogo kwenye maji mengi, matokeo makubwa! 💪

Tumia TikTik leo kwa matokeo ya uhakika!

📍Inapatikana nchi nzima kwa ujazo wa 40ml,100ml, 250ml, 500ml na Lita 1.

TIKTIK: Dawa Kidogo, Nguvu Zaidi! 💪

📞 0754 290 330
FARMBASE LIMITED — The Quality You Can Trust

09/09/2026
Agriculture is evolving, and so are the needs of our farmers.        Farmbase is With You Every Step of Your Farming Jou...
03/09/2026

Agriculture is evolving, and so are the needs of our farmers. Farmbase is With You Every Step of Your Farming Journey.🍀

Farmbase Limited, tukiendelea kutoa Elimu juu ya ubora, Matumizi sahihi ya bidhaa zetu, na Elimu za uzalishaji Hapa 10th...
02/09/2026

Farmbase Limited, tukiendelea kutoa Elimu juu ya ubora, Matumizi sahihi ya bidhaa zetu, na Elimu za uzalishaji Hapa 10th Africa Agri~Exp 2026 🥳

02/09/2026

FACM, MOZAMBIQUE 2026

01/09/2026
Ndugu Mkulima,Ukiwa umechoshwa kupoteza mazao yako kutokana na uharibifu wa wadudu kila msimu, FARMBASE LIMITED inakulet...
31/08/2026

Ndugu Mkulima,

Ukiwa umechoshwa kupoteza mazao yako kutokana na uharibifu wa wadudu kila msimu, FARMBASE LIMITED inakuletea suluhisho ili kuzuia wadudu hao na kulinda faida zako.

ABANIL 18EC ~ abamectin 18g/l~ ni kiuadudu bora cha kuangamiza jamii zote za utitiri kwenye mazao.

1.Hulinda soya, zabibu, matunda jamii ya machungwa, mahindi, mazao ya bustani, na aina mbalimbali za mbogamboga

2.Hutoa hifadhi ya ulinzi kupitia kiambato Amilifu cha Abamectin 18g/l ambacho hufanya kazi ndani ya tishu za mmea katika eneo lililo tumiwa.

3.Hustahimili kuoshwa na mvua mara tu baada ya kukauka, hivyo hutoa ulinzi wa muda mrefu.

4.Hulenga wadudu waharibifu ambao ni vigumu kuwadhibiti k**a vile utitiri mwekundu two spotted spider mite kwenye pande zote mbili za juu na chini ya majani

4.Huchanganyika kwa urahisi kwenye tank na bidhaa za kawaida za kulindia mazao ili kudhibiti aina mbalimbali za visumbufu vya mazao

Matumizi: Ml 20 kwa lita 20

Si unaona, yaani dozi ni ndogo kwa matokea makubwa.
📍 Sasa unaweza kuoder bidhaa hii ya ABANIL 18 EC ukiwa sehemu yoyote hapa Tanzania, au unaweza tembelea ofisi yetu iliyopo Amana~ Ilala, Dar es salaam.

Pia unaweza wasiliana nasi Kwa namba za simu
📱 0754-290-330
📱 0784-290-330

Kwa huduma za, au ushauri wa kilimo na mifugo kwako mkulima na mfugaji.

FARMBASE LIMITED, the quality you can trust

Address

Ilala Amana, Uhuru Street . Plot Number 1
Dar Es Salam

Opening Hours

Monday 07:30 - 18:00
Tuesday 07:30 - 18:00
Wednesday 07:30 - 18:00
Thursday 07:30 - 18:00
Friday 07:30 - 18:00
Saturday 07:30 - 18:00
Sunday 07:30 - 12:00

Telephone

+255715290330

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Farmbase Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Farmbase Limited:

Shortcuts

Share