Ewaldwizzy

Ewaldwizzy matangazo ya biashar kupitia youtube/app Ewaldwizzy

27/05/2022

Sheheee kiboshoooπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

08/05/2022

Nyieee kumbe mmekaa kimyaaa tuu hamtaki kuniambia kumbe X wangu ni marehemu namtaka kuniambia cjapendaaa πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

04/04/2022

Waislam wamefunga wakristu tumefunga sasa hawa wanaokula mchana nikinanani tena jamaniii

23/02/2022

Kwenye shughuli za wanaume wavulana kaeni mbalii🀣

22/02/2022

Bongo raha sanaa 🀣🀣🀣🀣🀣

09/02/2022

Wangapi hatutakaa tuame bongo emoji moja πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

08/02/2022

Baba ndio kiazi kabsaa

02/02/2022

Tuanze challenge πŸ˜‚πŸ˜‚

14/01/2022

Sikatai tulikutana kwenye kampeni
Bt ndio unsave CCM OYEE πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Je camera inaweza kunasa kisichoonekana mchungaji adai camera zamnasa malaika kanisani kwake kwenye mkesha (matapeli wan...
08/01/2022

Je camera inaweza kunasa kisichoonekana mchungaji adai camera zamnasa malaika kanisani kwake kwenye mkesha (matapeli wanazidi mjini) hiyo raba siyo yapale vunjabei kweli πŸ€”πŸ€”

Hatimaye SIMBA SPORT CLUB wamefika songea wasiwasi wa wengii AZAM wanaweza wasitokee uwanjani wakapita walipopita watani
23/06/2021

Hatimaye SIMBA SPORT CLUB wamefika songea wasiwasi wa wengii AZAM wanaweza wasitokee uwanjani wakapita walipopita watani

Polen sana majiran zetu nmda sasa nasisi tuaze kuchukua tahadhar
13/03/2020

Polen sana majiran zetu nmda sasa nasisi tuaze kuchukua tahadhar

Address

Dodoma
254

Telephone

+255719787637

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ewaldwizzy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share