17/07/2024
Kwa wale ambao wanashindwa kuelewa ni baishara gani inalipa halaka na kwa mtaji mdogo kabisa basi jua biashara ya supu ya utumbo ndio mchongo wa uhakika
Ni kiasi kidogo sana cha pesa kinaweza kuku fanya ukajiajili na kuanza kujiingizia kipato
TUPE mchongo 24 pamoja na C.E.O Williams Alc tumeifatilia biashara hii na kujilizisha kuwa inafaida na inalipa ukiamua kuifanya leo.
Tuko youtube pia ngonga link 🔗 hii https://youtube.com/-tips-07?si=PTxuQnxn1FTz2x1Z