Mtujina

Mtujina BIASHALA NA KILIMO mtujina

Saa nzuli ya kuwa mtu imala katika kuzalisha kilicho kizuli kwa Taifa na Dunia  # Kapunga Tanzania
09/05/2026

Saa nzuli ya kuwa mtu imala katika kuzalisha kilicho kizuli kwa Taifa na Dunia # Kapunga Tanzania

Asubui yenye tumaini Njema katika uakika wauzaishaji wa mpunga  # Kapunga Tanzania
09/05/2026

Asubui yenye tumaini Njema katika uakika wauzaishaji wa mpunga # Kapunga Tanzania

Adi shamba atulali  # kapunga atulali kuakikisha tuna kuzalishia mpunga wakutosha
28/03/2026

Adi shamba atulali # kapunga atulali kuakikisha tuna kuzalishia mpunga wakutosha

31/01/2026

Amini katika kufwata atua kila kitu kina kuwa bora na kwakiwango chamaana zaidi KAPUNGA apa ndo nyumba kwa mchele

31/01/2026

Wekeza katika mashine za kukoboa ( kuchakata ) mpunga zinaitajika sana apa Kapunga kwajili ya uzalishaji wa mchele safi na wakiwango cha juu

Mmea unaendelea vyema , aya ni matokeo ya usimamizi mzuli kuanzia kuotesha upandaji pia ufwatiliaji wa ukuwaji um agilia...
30/01/2026

Mmea unaendelea vyema , aya ni matokeo ya usimamizi mzuli kuanzia kuotesha upandaji pia ufwatiliaji wa ukuwaji um agiliaji tuko makini kwajili ya matokeo mazuli zaidi

30/01/2026

Apa ni mwendo wakuchapa mmea wenyewe uita ila inatambulika k**a wakati wa upandikizaji mmea apa shuuli ufaywa na bina damu pia mashine utumiaka ila kutoka na gharama za mashine pia uhaba wa mashine tunatumika wenyewe wana damu kuifanya upandikizaji ,atua ii ni atua muhimu sana katika shuuli ya kilimo maana apa ndo utoa maamuzi ya matokeo ya mwisho yakupasa kuwa makini zaidi ya nyakati zote maana mfanyakazi uwaza amalize halaka apate pesa yake pasipo kuwaza matokeo ya mwekezaji # Mtujina tuano wa simamizi wazuli kwakila atua ukifanya kazi nasi uto jutia

Shamba lisha andaliwa naliko tayali kwajili yakupandikizwa mmea (miche ya mpunga ) usafi ili kupunguza palizi unezingati...
30/01/2026

Shamba lisha andaliwa naliko tayali kwajili yakupandikizwa mmea (miche ya mpunga ) usafi ili kupunguza palizi unezingatiwa pia usafi kwaajili ya watenda kazi umezingatiwa ili kulinda afya zao wasipate mazala ya kuchomqa na mina ama kuumiza kucha za vidole umezingatiwa

Address

Mtujina2@gmail. Com
Dodoma
TZ

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255743523540

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtujina posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mtujina:

Shortcuts

Share