Ebusol training events

Ebusol training events TUNAWAFIKIA POPOTE MLIPO KWA ELIMU NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA STADI BORA ZA BIASHARA NJOO UJIFUNZE NA UJIAJIRI

03/03/2020

*MAGONJWA HATARI 10 YANAYOTIBIKA KWA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA* *UTANGULIZI* - Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya muhimu ...

03/03/2020

Mboga ni mmea au sehemu yoyote ya mmea inayoweza kuliwa na binadamu ambayo haina sukari k**a matunda. Mboga huweza kuliwa zikiwa zimepikwa ...

*Yafutayo ndiyo mambo ya msingi ya kuzingatia katika ufuagaji wa mbuzi*Namna bora ya ufugaji. 1. Wafugwe kwenye banda bo...
03/03/2020

*Yafutayo ndiyo mambo ya msingi ya kuzingatia katika ufuagaji wa mbuzi*

Namna bora ya ufugaji.

1. Wafugwe kwenye banda bora.
2. Chagua mbuzi kulingana na sifa zao na lengo la ufugaji (uzalishaji) nyama au maziwa.
3. Walishwe chakula sahihi kulingana na umri wa mbuzi.
4. Kuzingatia ushauri wa mtaalamu wa mifugo hasahasa namna ya udhibiti wa magonjwa hili ni jambo la muhimu sana.
5. Kuweka kumbukumbu za uzalishaji.
6. Kuzalisha nyama au maziwa bora yanaokidhi mahitaji ya soko.

Sifa za banda bora la kufugia mbuzi.

1. Banda bora linatakiwa liwe ni lenye kuweza kuwakinga mbuzi au kondoo na mashambulizi ya wanyama wakali (hatari) na wezi.
2. Liwepo sehemu ambayo maji hayawezi kutuama.
3. Mabanda yatenganishwe kulingana na umri.
4. Liwe na ukubwa ambao linaweza kufanyiwa usafi.

K**a utafuga mbuzi kwa kuwafungia (shadidi) muda wote zingatia yafuatayo:-
1. Banda imara lenye uwezo wa kuwahifadhi kiafya,upepo/mvua.
2. Lenye hewa ya kutosha.
3. Liwe na sakafu ya kichanja na sehemu ya kuwekea chakula na maji.
4. Liwe na vyumba tofauti kwa kuweka vijitoto/wanao ugua/wanao kua.

Ujenzi wa banda la mbuzi.
1. Banda lijengwe kwa kutumia vifaa vilivyopo eneo husika na kwa kuzingatia uwezo wa mfugaji.
2. Kuta ziwe imara na zinazo ruhusu mwanga na hewa ya kutosha.
3. Mlango uwe na ukubwa wa 60X150 sentimeta.
4. Sakafu iwe ya udongo/zege ya kichanja unaweza kutumia mabanzi/mianzi na iruhusu kinyesi na mikojo kudondoka chini.
5. Chumba cha majike na vitoto kiwe na sentimeta 1.25kati ya fito na fito au papi na papi, chumba cha mbuzi wakubwa kiwe na sentimeta 1.9 kati ya mbao na mbao.

*JIFUNZE JIAJIRI UMASKINI HAUKUBALIKI*

Vitabu vinapatikana softy copy na hard copy
02/10/2019

Vitabu vinapatikana softy copy na hard copy

Address

KARUME DCC
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ebusol training events posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share