Mindset Of Business

Mindset Of Business Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mindset Of Business, Business service, Dodoma.

Page hii ni Kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanao penda kujiajiri wewe yenyewe kwa kutoa na kuonyesha njia ambazo wanaweza kutumia kwa ajili ya kujiajiri pia upata elimu na mwongozo
unapo follow na ku like hii page hautajutia maana upo sehemu sahihi

18/04/2022

QUOTES OF MONDAY.

Ukweli ni mchungu iwapo unawapenda watoto.
Tafuta biashara sikazi ya kuwajiriwa kwasababu ukifa watoto hawawezi kurithi kazi Yako.
Lakini wanaweza kurithi biashara Yako .Kiuhalisia ukifa unafanya kazi ,boss wako atamtafuta mtu wa kuziba nafasi hiyo kabla hata haujazikwa.Iwapo familia yako inaishi katika nyumbani ya kampuni.

Watafukuzwa kabla hajasema lolote,Kwahiyo siku zote ukitoka kazini usiende kutazama television.Nenda nyumbani na ufikirie kuanzisha mradi/biashara yoyote.

FURSA.kuna muda unaletewa fursa ndo unaisikia kwa mara ya kwanza lakini ukaamua kuidharau kwamba haikufai.Baada ya muda ...
18/04/2022

FURSA.

kuna muda unaletewa fursa ndo unaisikia kwa mara ya kwanza lakini ukaamua kuidharau kwamba haikufai.

Baada ya muda kupita unasikia ile fursa uliyofikishiwa imenufaisha watu kwa mazingira yaleyale.

Kumbe kipindi unafikishiwa uliitajika kuifahamu kwa undani zaidi ili kipindi unaamua kutokuifanya basi unaamua kwa vigezo na sababu maalumu sio kwa dharau zako.

Hii itakusaidia kufahamu fursa za namna hiyo nakukusaidia kuokoa muda siku ukiletewa kwa mara ya pili.

KIBIASHARA K**A SIMU AINA YA SMARTPHONE UNAYO, NA UNASHINDWA KUTENGENEZA WALAU LAKI MOJA KWA MWEZI KUPITIA SIMU YAKO, BA...
17/04/2022

KIBIASHARA K**A SIMU AINA YA SMARTPHONE UNAYO, NA UNASHINDWA KUTENGENEZA WALAU LAKI MOJA KWA MWEZI KUPITIA SIMU YAKO, BADO HAUJAJUA MATUMIZI SAHIHI YA SIMU YAKO NA INTERNET . UNAPOTEZA MUDA NA VOCHA BURE.

Ni maneno mazito lakini ndio kawaida ya ukweli siku zote ni mchungu sana, tena sana.Lakini ni dawa kwa mtu anayetafuta mpenyo wa kutokea.

Watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa, sio kwa kukosa chakula wala sio kwa kukosa fedha.

Uhalisia ni kwamba hauwezi kuingiza pesa kupitia internet ya simu yako sababu hauna Maarifa sahihi ya namna ya kutumia internet. Wengi mmevamia internet kwa vile umewaona watu wanatumia kwa mazoea.

Asilimia 90 ya muda wako kila siku unautumia kuangalia simu yako. Kwa nini usitafute kitu ambacho utakifanya kwenye simu yako, ujifunze vizuri kisha kitu hicho kikuingizie pesa?

Kulalamika hauna mtaji alafu mkononi umeshika simu ya SMARTPHONE ni ishara kubwa ya kukosa maarifa sahihi ya kutumia kitendea kazi ulichonacho. Hauna tofauti kabisa na mtu ambaye anamiliki bajaji lakini habebi abiria anatumia k**a chombo cha kutembelea tu alafu mtu huyo huyo analalamika hana mtaji.

Usipokuwa sirias wewe k**a wewe, watu watakuacha upigike k**a ulivyo. Lakini ukionesha jitihada watu watakushika mkono watakuongoza na utatimiza malengo. Wewe kijana, mwanachuo, mwajiriwa, uliyejiajiri ZINDUKA Usingizini...

Darasa la WhatsApp linakaribia kuanza idadi ikitimia tu linafungwa k**a unapenda wahi ni bure, lengo ni kuwasaidia vijana kibiashara na kushea mawazo chanya.Group linaitwa BUSINESS ACADEMY.

Tuma neno BIASHARA MAARIFA kwenda WhatsApp +255684708770 usaidiwe bure.

Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara m...
16/04/2022

Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati huo nilikua afisa mikopo. Alinielezea kuhusu Biashara yake, plan zake na namna alivyoanza Biashara nilimuambia ondoka uje kesho.

Lakini alipokua anaondoka nilimuita dada mmoja rafiki yangu na kumuambia nitamuoa yule dada, yule ndiyo mke wangu. Hakuamini lakini nilimtongoza nikampata na sasa hivi ni mke wangu.

Ana akili sana huyu mwanamke, kabla ya kumuoa nilikua nishafanya kazi miaka tisa, nilikua na Gari tena ya mkopo na kiwanja tu. Nilijua sina akili k**a yeye hivyo nilimuongezea mtaji kwenye Biashara yake na kumuacha afanye "miujiza" yake maana mimi naiita miujiza. Sasa hivi ndoa yangu ina miaka sita, tuna nyumba mbili, viwanja vitatu maduka mawili makubwa ambayo tunasimamia wote na vitu vingine vingi. Ingawa majina katika hati ni yetu wote wawili lakini ndani ya nafsi yangu nakiri hakuna chakwangu hapo.

Mwaka jana mke wangu aliniambia kuwa anatamani kuwajengea nyumba wazazi wake, nikaridhia ombi lake. Kwetu kuna nyumba kubwa tu ambayo tulijenga na ndugu zangu na nahudumia k**a kawaida. Alipoanza kujenga nikaona ndugu zangu k**a nyuki, wanavamia na maneno, kunijaza kuwa nimetekwa sijui na maujinga ujinga mengi. Mama naye alianza kumchukia mke wangu mara aniambie kamuongelesha vibaya, mara aniambie hivi mara vile, mara ghafla kabila eti kisa wachaga ataniua sijui nini alikuja hana kitu huku anapendeza.

Baada ya kelele nyingi niliona hii itakuja kuniletea shida. Siku moja nilienda nyumbani, nikaomba kuongea na Mama, alianza kuniambia maneno mengi nikamsikiliza sana nikamuambia....

“Mama hivi kabla ya kuoa nilikua na nini?” Alinyamaza kisha akaniambia Gari, nikamuuliza na sasa hivi? Akataja vile vichache anavyovijua, nilimtajia na vingine vingi ambavyo havijui akabaki kushangaa. Akaniambia tatizo hushirikishi ndugu zako nikamuambia kwani walishiriki kuzichuma?

“Mama nakupenda sana, ila jua kuwa sina akili k**a mke wangu nikimuacha yule mwanamke kesho,keshokutwa nitakua k**a fala flani hivi sina kitu na yule mwanamke hata nikimuacha na laki moja tu mwakani yeye atakua milionea.

Nauchukuia sana umasikini hivyo kawaambie wanao kuwa wakiendelea kumsumbua mke wangu basi hata kwangu hawatakanyaga.Kujifanya wananiheshimu halafu wanamdharau mke wangu ni unafiki.Mke wangu simuachi, kwao haachi kujenga k**a unataka nyumba Mama nilishakujengea hao ndugu watafute vya kwao na wenza wao!”

Mama aliongea sana akilalamika kuwa nimetekwa akili nikamuambia wewe ni Mama yangu hata ukinitukana siwezi kuacha kukuhudumia kwani ni kazi yangu lakini siwezi kumuacha mke wangu, ila waambie wanao kuwa wakimsumbua mke wangu nitasahau kuwa tumezaliwa tumbo moja. Mama aliongea, akaongea lakini niliondoka. Walijua k**a natania wakidhani k**a nimelishwa limbwata, ile nafika nyumbani mke wangu nakuta hajachangamka, nilimuuliza tatizo ni nini hakuniambia alisema yuko sawa.

Nilihisi kitu nikachukua simu yake, nikaangalia meseji mdogo wangu wa k**e alikua akimtukana mke wangu kuwa amenilisha limbwata mpaka imefikia hatua namtukana Mama yangu, mara ataondoka tu laana itamshika na mambo kibao. Nilichukua simu ya mke wangu na kumpigia, alipokea hata kabla ya salamu alianza kutukana na vitisho kibao. Nilimuambia kuwa “Inaelekea Mama hakukupa ujumbe wangu vizuri ukauelewa, nilisema atakayeendelea kumsumbua mke wangu nitasahau k**a ni ndugu yangu, basi wewe kuanzia sasa nimekwisha kusahau!”

Nilikata simu na sikumtafuta, ilikua mwaka jana, yeye yuko chuo nilikua namlipia mimi kila kitu nikakata kabisa, nikamuambia sitatoa. Mama akapiga simu akalia lakini nikakataa, mke wangu alinibembeleza sana kumsamehe lakini wapi nilimuambia sitaki. Nilifanya makusudi ili wajue kuwa namaanisha kuhusu msimamo wangu.
Mwaka huu wote ada ya chuo ya mdogo wangu aliyelipa ni mke wangu, hawakuniambia lakini najua kwani Mama ndiyo alikua anapiga anamuomba na pia sasa hivi akitaka matumizi anaomba kupitia mgongo wa Mama ili Mama aniombe nimpe.Najua zinaenda wapi nabaki nacheka tu moyoni.

Mdogo wangu nimemsamehe ila natamani ajue kuwa mke wangu ni jembe,ana akili ya Biashara ambayo mimi sina, akili yangu ni ya darasani tu ila kwa Biashara huyu mwanamke hapana.

Wakati mimi nikiiangalia Tsh 100,000 naona raundi kadhaa za bia Baa,yeye anaiona k**a mtaji wa Biashara itakayozalisha mamilioni.

Nimuambie tu mdogo wangu najua bado yeye na Mama wanaamini nimelogwa, Si kweli,mimi sitaki tu umasikini nikimuacha huyu mke wangu ataondoka na mali zake.Biashara tunazomiliki sasa sitaweza kuziendeleza na hata nikiwapa ndugu zangu hawataweza kuziendeleza!

: Kuna Wanaume wengi wanafanikiwa kupitia migongo ya Wanawake lakini ni wachache tu wanaweza kukubali.



**credits to unknown author

NAFASI ZA KAZI KWA VIJANA.Wanahitajika watu 9 makini wa kufanya nao kazi kibiashara zaidi. kwa ambaye anapenda na yupo s...
16/04/2022

NAFASI ZA KAZI KWA VIJANA.
Wanahitajika watu 9 makini wa kufanya nao kazi kibiashara zaidi.

kwa ambaye anapenda na yupo sirias kufanya kazi kwa kutumia internet ya smatphone yake atapata mafunzo bure na ataanza kulipwa vizuri inategemea na usirias wake tu kwenye kujifunza na kufanyia kazi mafunzo atayopewa.

Muombaji awe na Elimu ya kuanzia kidato cha nne.

Utafundishwa bure namna ya kutumia facebook, instagram, whatsapp kibishara.

K**a upo sirias tuma ujumbe neno BIASHARA kwenda whatsapp 0684708770 usaidiwe mapema.

MWAJIRIWA, MWANACHUO, KIJANA JIFUNZE NIDHAMU YA FEDHA NA KUJITAMBUA KIBIASHARA ZAIDI.Ukiona unamiliki pesa  Mwisho Wa Mw...
16/04/2022

MWAJIRIWA, MWANACHUO, KIJANA JIFUNZE NIDHAMU YA FEDHA NA KUJITAMBUA KIBIASHARA ZAIDI.

Ukiona unamiliki pesa Mwisho Wa Mwez na katikati ya Mwez hauna pesa, bado ni shida, jitafakari jiulize Mara tatu ya nne Fanya maamuzi ya kuanza biashara itayokupatia mwendelezo wa kipato bila kutegemea Mwisho wa Mwezi. Pia kumbuka K**a changamoto zote unategemea kuzitatua Mwisho Wa Mwezi, maana yake mwezi ujao utakuwa mgumu zaidi. Ndio maana mishahara haikutani Kati ya Mwez na Mwez.

Maisha yanaenda kasi Sana, angalia muda unaoutumia unaendana na malengo yako? Usifanye mambo kufuata mihemko ya makundi ya watu wa aina fulani, utapotea. Ukifumba macho kwa kutojifunza, automatic umefunga milango ya kufika mbali kibiashara. K**a wateja wamebadilika kiutandawazi kwa nini mfanyabiashara anategemea mbinu zile zile za zamani alafu anatarajia kupata matokeo makubwa, inawezekanaje? Alafu biashara ikiwa ngumu wanalalamika sana kana kwamba wameonewa

Kupata maarifa endelevu ya biashara bure, Tuma ujumbe neno BIASHARA MAARIFA kwenda Whatsapp +255 684708770

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU AJIRA kwa hali ilivyo sasa hivi hapa tanzania kupoteza kazi yako ni rahisi sana unaweza kwenda k...
14/04/2022

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU AJIRA

kwa hali ilivyo sasa hivi hapa tanzania kupoteza kazi yako ni rahisi sana unaweza kwenda kazini leo kesho ukakutwa umefukuzwa, teknolojia inabadilisha kila kitu baada ya muda mfupi unaweza kukuta kazi yako inafanywa na mashine,

hakuna tajiri aliye ajiriwa, matajiri wote wanamiliki biashara zao wenyewe usifikiri kuwa tajiri kupitia kwenye ajira. huwezi kuwa tajiri kwa kutegemea mshahara peke yake anza sasa kufikiria na kufanya mengine, buni mfumo utakao kuwa una kutengenezea kipato wakati upo kwenye ajira na ukiona unatengeneza pesa nyingi fanya mipango uache kazi (fikiri nje ya box)

k**a hujui ni kwamba boss wako hana mpango wa kubadilisha maisha yako furaha yake yeye ni aone unamfanyia kazi kwa bidii, ukiumwa leo ukabaki nyumbani miezi miwili au mitatu ukirudi kazini utakuta nafasi yako imeshachukuliwa na mtu mwingne

usipoteze muda wako kuomba uongezewe mshahara /cheo waza kumiliki biashara yako mwenyew, haijalishi una elimu kubwa kiasi gani au ndogo kiasi gani mwajiriwa ni mwajiriwa tuu wote wana hatari moja, wote wana mfanyia mtu kazi ukifukuzwa kazi leo maisha yako lazma yatayumba

mshahara ukiongezeka ujuwe utatakiwa ufanye kazi zaidi na majukumu yatakuwa mengi zaidi pesa utakayo ongezewa huwezi kuifurahia tena lakini kwenye mfumo wako mwenyewe kuna wakati utakuwa haupo lakini pesa zinaendelea kutengenezwa

k**a unafarijiwa na mafao utakayopata uzeeni piga mahesabu ni kiasi gani utapokea uone jinsi gani unapoteza muda, mafao unayosubiria baada ya miaka 40 ya ajira ungeweza kutengeneza mara 50 na zaidi

ajira yako haikulindi bali inakufanya uwe mtumwa unauza muda na nguvu zako kila siku kipato ambacho siku zote haitakaa ikutoshe
sikwambii haya ili uache kazi leo la hasha! anza kujitengenezea mfumo leo hii ili uondoke hapo bila maumivu wala hofu yoyote

inawezekana wewe hujawahi kufikiria kuwa tajiri au kumiliki mali nyingi, biashara zako n.k lakini kujiajiri na kuwa na kipato cha ziada ni kitu cha muhimu kwa kuwa hutegemei mshahara peke yake #

Je wewe ni mwajiriwa na unahitaji kuanzisha biashara Yako nje ya Ajira yako basi bado haujachelewa.

Tuma Neno Biashara kwenda whatsaap namba +255684708770 kwa maarifa zaidi

14/04/2022

Kwenye swala la kujiajiri linapokujia kichwani kabla ya kuanza kufanya shughuli husika.

Ni mambo gani unapaswa kuzingatia kwanza.kuyafahamu ndo uanze kazi?

USIOGOPE UTAFANIKIWA🐍🐢"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"-...
13/04/2022

USIOGOPE UTAFANIKIWA

🐍🐢"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa duniani"- *OPRAH WINFREY!*

"Sikumaliza elimu yangu ya Chuo Kikuu lakini mimi ndiye binadamu tajiri kuliko wote duniani" - *BILL GATES!*

"Nilikuwa napata matokeo mabaya sana darasani wakati nilipokuwa shule ya msingi lakini bado mimi ni Daktari Bingwa wa Upasuaji duniani" - *DR. BEN CARSON!*

"Nilimwambia baba yangu tutakuwa na mali na utajiri mkubwa lakini hakuamini, leo hiyo ndiyo hali halisi"
- *CHRISTIANO RONALDO!*

"Nilikuwa mhudumu kwenye mgawahawa wa chai ili kulipia ada za mafunzo yangu ya mpira lakini leo mimi ni mchezaji bora wa dunia" - *LIONEL MESSI!*

"Nilikuwa nalala chini kwenye vyumba vya marafiki zangu, natafuta chupa tupu za soda nipate chakula, pesa na mlo wa bure wa kila wiki lakini bado mimi ndiye mwanzilishi wa APPLE" - *STEVE JOBS!*

"Walimu wangu waliniita mwanafunzi mjinga na asiyejiweza lakini bado nimekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza" - *TONY BLAIR!*

"Niliendesha TAKSI ili kulipia ada yangu Chuo Kikuu lakini leo mimi ni Bilionea" - *MIKE ADENUGA!*

: *Kushindwa au Vikwazo vya nyuma ni mambo yasiyo na nafasi kwa UWEZO mkubwa uliomo ndani yako. Kwa mtu anayeamini, kila kitu kinawezekana. Ni tunu ulizonazo na talanta ulizopewa ndizo ufunguo wa maisha yako. Usiende kukopa shaba kwa jirani wakati umeacha dhahabu nyumbani kwako, tumia dhahabu zako*🐢🐛

*uwe na Baraka tele za Mungu*

12/04/2022

Amua kupambania ndoto zako mungu yupo pamoja na wewe.

FURSA, FURSA YA AJIRA KWA VIJANA.Vijana yatupasa kupambana kwa mikono yetu wenyewe kujikwamua na wimbi la umaskini na uf...
10/04/2022

FURSA, FURSA YA AJIRA KWA VIJANA.
Vijana yatupasa kupambana kwa mikono yetu wenyewe kujikwamua na wimbi la umaskini na ufukara kwenye Familia zetu.
Vijana wengi tumekua tukihangaika huku na kule kuhakikisha tu tunajikwamua kiuchumi, na kutokana na hali ya maisha ilivyo kwa saivi unakuta kunakua na ugumu wa maisha kutokana na ukosefuu wa Ajira.

Kwa kijana unaejitambua usisubiri adi serikali ikuwekee mazingira ya ajiraa, kuna kazi na biashara mbalimbali ambazo unaweza kufanya na kujikwamua kiuchumi moja kwa moja bila kutegemea kuajiriwa.

Nahitaji vijana watano tu ambao wako serious na wenye uchungu wa maisha, wenye elimu kwanzia form 4 na kuendelea niweze kukufundisha biashara na mbinu mbalimbali za kidigitali buree na kuanza biashara yako bila kua na kitu chochotee.
Tuma ujumbe neno FURSA WhatsApp namba +255678496912 au nipigie simu kwa mawasiliano zaidi.

Usikae Na kujidanganya mambo yataenda kwa mteremko. Kuna majaribu Na kukatishwa tamaa,unaweza kutetereka Na kurudi nyuma...
09/04/2022

Usikae Na kujidanganya mambo yataenda kwa mteremko. Kuna majaribu Na kukatishwa tamaa,unaweza kutetereka Na kurudi nyuma.
Usivunjwe Moyo na kuteleza kwako, jiangalie jinsi ulivyojitahidi Na unavyojiskia kwa hatua uliyofikia. Kua Na mtazamo chanya huku ukiangalia uwezekano Wa kujenga furaha Na kujiamini katika Lengo lako.

Address

Dodoma

Telephone

+255684780770

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mindset Of Business posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share