Ram Agr Inputs

Ram Agr Inputs ram agr inputs is a supplier and supplier of agricultural inputs to all growers and traders. Our products are wholesale and retail and cheap.
0655047098

Kwa wale wenye uhitaj wa mbegu za DEKALB.Nazingine nyingi zinapatikikana kwa bei za jumla na reja reja kwa mawasiliano z...
31/07/2023

Kwa wale wenye uhitaj wa mbegu za DEKALB.Nazingine nyingi zinapatikikana kwa bei za jumla na reja reja kwa mawasiliano zaid piga simu no 0753 221 513 or 0656525050

26/06/2023

Jipatie vifaranga wa aina zote kwa bei nafuu saana karibuni saana kwa mawasiliano zaid piga sim no 0753 221 513.

09/12/2022

Kwa wale wanohitaji mbegu za ALZET zinapatika kwa bei za jumla na reja reja na kwajumla niwale2 wenye maduka ya pembejeo na kilimo. Karibu saana

DEKALB VUNAMAFANIKIOKwawalio kuwa wanauliza mbegu ya mahindi ya DK 80 31 NOW zimefika k**a unavyoona hapo ninying kwamac...
12/10/2022

DEKALB VUNAMAFANIKIO
Kwawalio kuwa wanauliza mbegu ya mahindi ya DK 80 31 NOW zimefika k**a unavyoona hapo ninying kwamacho but nichache saana kwawanaohitaj mnakalibishwa saana location DODOMA AND MOROGORO kwa wenye uhitaj weka oda yako mapema kwanamba ya ofice 0784578922
Or. Official no 0656525050. Ipo hewan mda wote but isipokiwa juma pili tu siyo siku ya kaz kabisa bei zetu ni jumla na reja reja
BEI ZA JUMLA NI K**A IFUATAVYO
1. DK 80 31. 2KG 12200
2. DK 90 89. 2KG 12300
3. DK 777. 2KG 12500
Note. Hizo ndio mbegu zilizopo stock no zingine k**a dk 80 33 hatupo nazo karibuni saana

03/10/2022

Bado tunapokea oda kwa wakulima na wafanyabiashara pia wanaohitak mbegu zetu za DEKALBD vuna mafanikio mbegu zilizopo ni DK 90 89 and DK 777.
Zote zinapatikana kwa bei ya jumla na reja reja bei za jumla kwa DK 90 89 ni Tsh 12300 kwa package ya 2kg and DK 777 ni Tsh 12500 kwa package ya 2kg karibuni saanaπŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»

16/09/2022
Kwa wale wapenzi wa mbegu za DEKALB  zinapatikana kwa bei za jumla na reja reja,dodoma, morogoro plus singida. Pia mikoa...
16/09/2022

Kwa wale wapenzi wa mbegu za DEKALB zinapatikana kwa bei za jumla na reja reja,dodoma, morogoro plus singida. Pia mikoa mingine tunaagiza kwa uaminifu mkubwa bei zetu DK 80 31, DK 80 33, DK 90 89, DK 777. Zote zinapatikana k**a unavyo ona hapo karibun saaana
Kwa mawasiliano zaid office no 0784578922 or 0656525050 zote ,ipo whatsapp .

You are all welcome to the central region for those who need to learn more this season in relation to corn seed issues s...
30/07/2022

You are all welcome to the central region for those who need to learn more this season in relation to corn seed issues such as:- 1. DK 80 31.
2. DK 80 33.
3. DK 80 53.
4. DK 90 89.
5. DK 777.
with BAYER drugs. 1. AUXOL HERBICIDER 2. INVASIVE MILITARY BELT 3. WUXAL WATER FERTILIZER FOR CROPS.
You are welcome at DEKALB, the best seeds with all the characteristics of short and long-term seeds. sufficient yield in all regions. it makes vizur DEKALB SUCCESS. EVERY SEED IS PRECIOUS PLANT ONE SEED IN EACH HOLE

Pump ndo zipo design hiyo kwawale wenye uhitaj waweza qasilian nas kwanamba 0784578922
15/07/2022

Pump ndo zipo design hiyo kwawale wenye uhitaj waweza qasilian nas kwanamba 0784578922

Kwa wale wenye uhitaj wa pump za jumla na reja reja zinapatikana kwa bei nafuu saaana company ya HANS Pump ni 16lts bei ...
15/07/2022

Kwa wale wenye uhitaj wa pump za jumla na reja reja zinapatikana kwa bei nafuu saaana company ya HANS Pump ni 16lts bei ya jumla 35000 na reja reja 40000.
Kwamawasiliano zaid piga cm no 0784578922

Address

Nzugun
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ram Agr Inputs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ram Agr Inputs:

Share