Jilinde na Kujikinga

Jilinde na Kujikinga
~Suluhisho la kudumu kwa kutumia
~Boresha Afya kabla

NINA PARKEJI CHACHE WAHIII MAPEMA SANA  IKO NDANI YA OFAA 0758335074
14/09/2025

NINA PARKEJI CHACHE WAHIII MAPEMA SANA IKO NDANI YA OFAA 0758335074

14/09/2025

NINA PARKEJI CHACHE SANA WAHIIII SANA NIPIGIE MAPEMA KUNA OFAA WAHI OFA 0758335074


~Suluhisho la kudumu kwa kutumia
~Boresha Afya kabla

NIPO KUWAHUDUMIA
30/08/2025

NIPO KUWAHUDUMIA

VILE NAPENDA KUWAPA FURAHA WATEJA
14/08/2025

VILE NAPENDA KUWAPA FURAHA WATEJA

Mama wa virutubisho nipo hapa kuwahudumia
14/08/2025

Mama wa virutubisho nipo hapa kuwahudumia

Usiweke Vidole Ukeni.Wakati wa kuamka asubuhi mara nyingi utakuta nguo yako ya ndani imelowa au ina uteute umegandia kwe...
22/05/2025

Usiweke Vidole Ukeni.

Wakati wa kuamka asubuhi mara nyingi utakuta nguo yako ya ndani imelowa au ina uteute umegandia kwenye nguo, unaweza kuwa na kiharufu au la...
Hali hii ni ya kawaida kwa sababu uke ni moja ya kiungo cha mwili ambacho hujisafisha chenyewe bila kuhitaji msaada wowote.

Wanawake hushambuliwa na fangasi, huwa na miwasho ukeni, uke kutoa shombo na magonjwa kadhaa kwa sababu ya kushindwa kuchukua tahadhari juu ya vitu vidogo vidogo k**a hivi.

Mfano, kushindwa kuchamba uke kwa maji mengi baada ya kukojoa, kutobadili nguo ya ndani mara kwa mara, kukaa na pedi muda mrefu, kuweka viunga uke (manukato n.k) jambo ambalo husababisha kuondoa bakteria wanaoulinda uke dhidi ya magonjwa hivyo uke huanza kushambuliwa na fangasi kwa kasi na ndio chanzo cha malalamiko ya wengi kusema U.T.I yangu haiponi, muwasho hauishi hata nitumie dawa bado unarudi, P.I.D sugu n.k kwa sababu uke ushapoteza kinga yake asili

Jambo kubwa zaidi wengi tunaweka vidole ukeni hii kiafya sio nzuri kwa sababu kuingiza kidole mara kwa mara na kunyofoa ute ute ndani ya uke, kidole huondoa hata wale bakteria wazuri wanaokuwa karibu na mlango wa uke wakilinda njia ya uke isishambuliwe na bakteria au fangasi wabaya.... Mbaya zaidi ni pale unaweka kidole ambacho huna uhakika k**a ni kisafi, kinaweza kubeba bakteria wabaya ambao huenda kushambulia mlango wa uke moja kwa moja.

• Nauliza swali kidogo,,,,, hivi ule mchezo wa mwanaume kukuingizia vidole ukeni huwa unahakikisha usafi wa mikono yake? Kucha zinakuwa zimekatwa na hazina uchafu? Je, katika kupapasana, kugusana eneo la nyuma (haja kubwa), jasho wakati wa tendo, kunyonya kisimi n.k hii haiathiri zaidi usalama wa uke wako? fikiria binafsi kisha jibu lako likusaidie kuongeza umakini.

• Namna Ya Kusafisha Uke, Asubuhi chukua maji mengi ya kawaida (usisafishe uke kwa maji ya joto) kisha chambia uke wako, kwa asubuhi unaruhusiwa kuingiza kidole na kuondoa utoko unaokuwepo ila usiingize ndani sana kidole chako na hakikisha umekisafisha kabla hujakiingiza huko ndani.... Nyakati nyingine zilizobakia huruhusiwi kuingiza kidole kusafisha uke wako, isipokuwa unachambia tu uke kwa maji k**a umetoka haja ndogo au kuoga

NITAFUTE 0758335074

ALICHUKUA BIDHAA ATUMIE KWA AJILI YA CHANGAMOTO YAKE YA UTI ILA NIKWAMBIE AMEPONA NA ANAKWAMBIA HORMONE ZAKE ZIMEKAA SAW...
15/05/2025

ALICHUKUA BIDHAA ATUMIE KWA AJILI YA CHANGAMOTO YAKE YA UTI ILA NIKWAMBIE AMEPONA NA ANAKWAMBIA HORMONE ZAKE ZIMEKAA SAWA NYIEEEE YANI UNACHUKUA KWA AJILI YA CHANGAMOTO MOJA ILA UNAPONYA NA NYINGINE

NIKO NA FURAHA SANA IMAGINE MTEJA WANGU AMECHUKUA PARKEJI YAKE YA UTI IMAGINE AMEPATA KUPONA NA NIKWAMBIE NAENDA KUSAIDI...
15/05/2025

NIKO NA FURAHA SANA IMAGINE MTEJA WANGU AMECHUKUA PARKEJI YAKE YA UTI IMAGINE AMEPATA KUPONA NA NIKWAMBIE NAENDA KUSAIDIA WENGI SANA

Rejesha furaha yako na dada wa virutubishoo
03/10/2024

Rejesha furaha yako na dada wa virutubishoo

Kitanachotukwamisha kwenye Afya ni LisheZamani Tulikula bila kujua k**a tulikura tiba katika vyakula Leo hii vyakula tun...
01/10/2024

Kitanachotukwamisha kwenye Afya ni Lishe
Zamani Tulikula bila kujua k**a tulikura tiba katika vyakula Leo hii vyakula tunavyokula Ni moja ya vyanzo vya maradhi yanayotusumbua sasa.
Hivi unaamini kuwa chanzo cha presa ni vyakula.
Hivi unaamini kuwa chanzo cha kisukari ni vyakula.
Na unaamini kuwa chanzo cha uzazi ni vyakula..
Yes ni kwasababu Umeamua kula muonekano wa vyakula ni si chakula bora hii ni Hatari.
Leo hii k**a umepata ujumbe huu Body yetu ya tibalishe Inakupa Nafasi ya kurudisha walau kile unachokikosa katika sahani ya mlo wako wa kila siku pata.
Tiba lishe Bora ili kulinda Mwili wako

P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.P.I.D Ni maambukizi kwenye via v...
12/09/2024

P.I.D NINI,DALILI ZAKE NI ZIPI, MADHARA YAKE NI YAPI?
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC

WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
-Kupitia ngono zembe
-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
- Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu

DALILI ZA P.I.D
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu

MADHARA YA P.I.D
-Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi
-Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba
-Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi
-Ugumba kwa mwanamke
-kupata kansa ya shingo

NIPO KUTATUA CHANGAMOTO YAKO INAYOKUSUMBUA NIMESAIDIA WATU WENGIII SANA KALIBU NIKUHUDUMIEEE
12/09/2024

NIPO KUTATUA CHANGAMOTO YAKO INAYOKUSUMBUA NIMESAIDIA WATU WENGIII SANA KALIBU NIKUHUDUMIEEE

Address

DODOMA
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jilinde na Kujikinga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jilinde na Kujikinga:

Share