19/02/2026
*KABLA HUJALAUMU CHAKULA, LAUMU STRESS YAKO* ⚠️
*SABABU ZINAZOHARIBU TUMBO: "STRESS"*
⚠️Stress sio ya akili tu — inaingia mpaka tumboni. Ukikaa kwenye presha muda mrefu, mfumo mzima wa mmeng’enyo unatetereka.
*Stress inaharibu tumbo kwa njia hizi* 👇🏾
😣 Hupunguza asidi & enzymes → chakula hakisagiki vizuri.
🔥 Huongeza inflammation(uvimbe tumboni)→ maumivu, gesi, kiungulia.
🦠 Huvuruga bacteria wazuri (gut flora) → bloating, IBS, constipation/diarrhea.
🧠 Gut–brain connection → unavyofikiri ndivyo tumbo linavyojisikia.
😴 Huharibu usingizi → tumbo halipati muda wa kujirekebisha.
*Dalili za stress tumboni* ⚠️
👉🏾Tumbo kujaa/kuvimba bila sababu.
👉🏾Kiungulia mara kwa mara.
👉🏾Kukosa choo au kuharisha.
👉🏾Maumivu ya tumbo yasiyoeleweka.
*Ukweli mchungu:*
👉🏾 Unaweza kula vizuri, lakini k**a una stress kali, tumbo bado litaumia.
*Suluhisho la kuanza leo;*
👉🏾Punguza stress (kupumua kwa makini, kutembea, maombi/tafakari).
👉🏾Lala vya kutosha
Lisha tumbo (vyakula asili + virutubisho vinavyolinda gut)
Usisubiri tumbo likupigie kelele. Chukua hatua mapema.
DM sasa 📩0762-369-993 | 0712-809-993 kwa mwongozo wa afya ya tumbo na bidhaa za kusaidia kurekebisha tumbo lako.
*KABLA HUJALAUMU CHAKULA, LAUMU STRESS YAKO*