06/12/2020
MABEL AUTOMOTIVE .....
HAKUNA KINACHOSHINDIKANA HAPA TANZANIA TATIZO KUBWA NI HUJAPATA "CONECTION" hebu wahi ofisni kwetu ujionee na ushuhudie maajabu ...jamani na wahakikishia fikeni mjionee wenyeee hivi vitu vinafanya na WATANZANIA
HII NI MILANGO YA BMW gari liligongwa ubavuni hivyo kupelekea side cover kupata majeraha makubwa k**a inavyoonekana hivyo bas MABEL kwa wing wa wataalamu pamoja na jopo la mafundi wabunifu na wenye viwango walitumia mlango mmoja kukopi na kupaste .....kwa kutumia material maalumu kwa kazi hiyo na kupelekea kazi kukamilika ikiwa imerudisha muonekano mpya kabisa k**a wa mwanzo
swali?? je??
KUNA MTU ANAWEZA KUNIAMBIA MLANGO ULIOKUWA NA MAJERUHI NI UPI ..PATIA UJIPATIE ZAWADI YA VOCHA
kwa kazi nzuri na kufahamu zaidi kuhusu car interior likke follow IG page yetu
Akhsanteni sana karibuni wote MABEL