Tanzania Yetu Kwanza

Tanzania Yetu Kwanza TANZANIA supporter's

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Ndugu Nenelwa...
19/09/2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Ndugu Baraka Ildephonce Leonard kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji...
19/09/2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla fupi ya Uapisho iliyofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpakulia Iftar mtoto Yatima Shuraiya Ramadhan (6) wa...
27/03/2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpakulia Iftar mtoto Yatima Shuraiya Ramadhan (6) wa Kituo cha Watoto Yatima cha Rahman kilichopo Chang’ombe Jijjini Dodoma. Rais Samia aliwaandalia Iftar Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024.

27/01/2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katika uwanja wa Barafu Igunga ...
17/10/2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi katika uwanja wa Barafu Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Uten...
12/10/2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati ya Kutathmini Ufanisi na Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Balozi Hassan Simba Yahya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Oktoba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Viongozi Wakuu wa Nchi za ...
06/09/2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Viongozi Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu w...
28/08/2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

📌Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru wa...
05/08/2023

📌Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru wa Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashiri mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe Maalum wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Emmerson Mnangagwa tarehe 04 Agosti, 2023.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
18/05/2023

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Address

Po Box
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Yetu Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share