Chicken Incubation Dodoma.

Chicken Incubation Dodoma. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chicken Incubation Dodoma., Business service, Nkuhungu, Dodoma.

24/02/2025

Sijafurahishwabna sare ila angalau imeonesha hakuna urafiki k**a ule wa kwao sisi na Azam. Kadri tunavyoendelea ukweli utakuwa wazi zaidi. Tusubiri.

08/10/2017

Kwa wanaoishi Dodoma, kazi imeanza upya. Tunazo mashine mpya na tumeboresha zilizopo. Huduma imeimarika zaidi, usimamizi mpya. Karibuni sana.

30/09/2017

Kazi imeanza tena. Marekebisho kidogo yamefanyika. Karibuni sana.

04/09/2017

We reopen in two weeks time. Stay tuned customers. We were doing some maintainance to make sure we being you a service of high quality. Tunafuangua tena ndani ya kipindi cha wiki mbili. Tulikuwa tunafanya matengenezo makubwa ya mashine zetu na kubadilisha baadhi ili kuwapatia Huduma yenye ubora wa hali ya juu. Wote mnakaribishwa.

Tunauza used incubators. Tuwasiliane 0756386731. Ziko kwwnye hali nzuri na zinapiga kazi vizuri tu.
17/01/2017

Tunauza used incubators. Tuwasiliane 0756386731. Ziko kwwnye hali nzuri na zinapiga kazi vizuri tu.

29/12/2016

Tunao vifaranga chotara w
a wiki moja na wiki 2. Wapo sokoni. Kwa mlioko Dodoma mnakatibishwa sana.

Kazi inaendelea.
20/06/2016

Kazi inaendelea.

Juu na chini ni picha moja. Juu inaonyesha mayai yasiyorutubishwa kwa rangi ya bluu. (Non fertile eggs)
19/02/2016

Juu na chini ni picha moja. Juu inaonyesha mayai yasiyorutubishwa kwa rangi ya bluu. (Non fertile eggs)

Weka oda ya vifaranga chotara usisumbuke kutafuta mayai na kutafuta mtotoleshaji. Sisi ndio suluhisho lako.
17/02/2016

Weka oda ya vifaranga chotara usisumbuke kutafuta mayai na kutafuta mtotoleshaji. Sisi ndio suluhisho lako.

Ukifika kwetu utakuta tangazo hili. Karibuni sana. Hii ni kwa wakazi wa Dom na mikoa ya jirani.
15/02/2016

Ukifika kwetu utakuta tangazo hili. Karibuni sana. Hii ni kwa wakazi wa Dom na mikoa ya jirani.

Majenereta 2, tatizo LA umeme hatunalo kabisa. Yanao uwezo mkubwa na yana hali nzuri.
05/02/2016

Majenereta 2, tatizo LA umeme hatunalo kabisa. Yanao uwezo mkubwa na yana hali nzuri.

Address

Nkuhungu
Dodoma
255

Telephone

0756386731

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chicken Incubation Dodoma. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share