05/01/2025
Ukitaka kujua makadirio ya gharama za nyumba.
Chukua square mita za nyumba unayotaka kujenga zidisha kwa 350,000/= kwa nyumba ya chini. Kwa ghorofa zidisha square mita kwa 400,000/= zidisha mara idadi ya floor unazojenga