03/06/2026
Kuna fursa unazikosa k**a mfanyabiashara au mjasiriamali au mwekezaji kwa sababu tuu hujasajili biashara yako.
Nakukumbusha kwamba usipo rasimisha biashara yako kwa kusajili biashara k**a jina la biashara au kampuni utashindwa kutambulika na vyombo vya serikali, utakosa kushinda tenda mbalimbali, utakosa fursa ya kukopa kutoka Taasisi za Kifedha, utashindwa kujenga chapa imara na kuwa na mwendelezo wa biashara yako.
Usiogope suluhisho lipo mbele yako sasa Esj Consulting and Management Agency Company Limited ina huduma ya kusaidia wafanyabiashara na wajasiriamali kusajili kampuni na majina ya biashara ili biashara yako iwe rasmi.
Chukua hatua sasa, piga simu au Whatsapp sms kupitia 0672 619 660 uweze kuhudumiwa kwa haraka kwa gharama unayoweza kulipa.