Quick Quality 115

Quick Quality 115 Quick Quality 115 is a professional photo and video production studio&news agency,documentary and n

18/12/2021

TAARIFA KUTOKA BODI YA LIGI KUU TANZANIA.

09/09/2021

UKUBWA FAKE WANAOJIVUNIA ,MIMI NDIO NILIWAPA.

Nashangaa Makolo wananipangia eti ni siwaponde, kweli binadamu msahaulifu kipindi nipo kwao nilipo kuwa na wasema yanga hao makolo fc walikuwa wanacheka tuu

Sasa hivi wanapata kero, wao kina nani kwa ukubwa gani , mm ndio niliwaaminisha kuwa wao ni wakubwa hata Barcelona akija anakaa

Ila walivyo mazuzu wakaamini na sasa wananisakama Mimi niliyewapa huo ukubwa. Sasa hivi nipo busy na game ya jumapili ila baada ya mechi

Nitaanza kudili na woote wanaojiita Anti_Buggat nitawaonyesha kuwa mimi ni Jitu kubwa sana zaidi ya Kijitimu kao kaurithi

Mimi sijawahi kuwa simba sababu damu ya yanga tangu nazaliwa ilikuwa kwenye mishipa mwilini mwangu.

Mimi sipangiwi kazi uniite professional propagandist au vyovyote ila vita yangu na makolo haitoisha. Watashindana lakini hawatoshinda . AMEN !!

Efm radio
___________________________________

SAIDIA KUWAKERA
KWAKU

09/09/2021
02/07/2020

Saga la Zaka Zakazi na Haji Manara linaendelea.....

UMEPOTOKA HAJI

"Nianze na hili la mtaani. Mimi sijatoka mtaani aisee, nimetoka kwenye chombo kikubwa sana cha habari hapa nchini...hata kabla ya hapo nilikuwa kwenye chombo kikubwa sana.

Maisha yangu ya habari nimeyaishi kwenye vyombo vikubwa nikifanya kazi na magwiji wa habari.

Wewe ndiyo umetoka mtaani baada ya kutoka jela na kesi yako ya utapeli.

Matapeli wote ni watu wa mtaani na ndiko wewe ulikotoka hadi Simba kukuokota.

Halafu suala la AC na dawa ndilo la kushangaza zaidi.

Niliandika kwamba SAFARI IJAYO HATUTOWASHA AC.

Hakuna sehemu niliyotaja dawa...nashangaa unakurupuka na hoja za dawa. Yawezekana kuna kitu unajua kuhusu dawa, utusaidie." - Zaka Zakazi

na washkaji

Address

Blue Pearl Hotel
Dodoma
00255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Quick Quality 115 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share