Pallone Tz

Pallone Tz The Innovator

14/05/2020
Tumia Muda wako Vizuri...Mafanikio yapo Mikononi Mwako
13/03/2019

Tumia Muda wako Vizuri...Mafanikio yapo Mikononi Mwako

25/08/2017

🏠 12/09
✈ 27/09
🏠 18/10
✈ 31/10
✈ 22/11
🏠 5/12

27/05/2016

BREAKING NEWS....
Kocha wa zamani wa chelsea Jose Mourihno Ametangazwa kuwa manegar(kocha) mpya wa manchester United na amesha saini mkataba mpya na klabu hiyo.

Kupitia Mtandao wa Sky Sports habari zinasema Mreno huyo ameshatangazwa kuwa kocha mpya wa man united na tayari mkata wake umeshatumwa United!.

26/05/2016

Taarifa kutoka klabu ya yanga inasema, Makamu mwenyekiti wa Yanga sc Clement sanga amesisitiza kwamba Hans van der pluim wameshakubaliana naye na watampa mkataba mnono.

11/01/2016

Huyu ndiye king leonel messi.
Amefikisha ya tano Fifa ball d'or pongezi kwake

FIFA BALL D'OR INAANGUKIA KWA NANI?  Neymar, Christiano ronaldo na Leonel Messi nani atachukua?_____
11/01/2016

FIFA BALL D'OR INAANGUKIA KWA NANI?
Neymar, Christiano ronaldo na Leonel Messi nani atachukua?_____

Tofauti kati ya Leonel Messi na Christiano ronaldo kwa mwaka 2015.    Nikianza na Leonel messi¤Katika mwaka 2014-2015 am...
05/01/2016

Tofauti kati ya Leonel Messi na Christiano ronaldo kwa mwaka 2015.

Nikianza na Leonel messi
¤Katika mwaka 2014-2015 ameweza kubeba makombe 3 pamoja na mataji mawili super cup na Club world cup.
¤Katika timu yake ya Fc Barcelona amefanikiwa kufunga
*Magoli 48
*Assists 23
*Mechi 54 zote alizocheza.

¤Katika timu ya taifa argentina leonel messi amefanya yafuatayo
*Kafunga magoli 4
*Assists 3
*Mechi 8 alizocheza.
***********
Tukija kwa Cristiano ronaldo.
¤Katika mwaka 2015 amefanikiwa kushinda tuzo ya Fifa Ball d'or na European Golden boot {mfungaji bora wa ulaya.
¤Katika timu yake ya Real madrid kafanya yafuatayo.
*Kafunga magoli 57
*Assists 18
*Mechi 58 alizocheza.

¤Katika timu ya taifa ureno kafanya yafuatayo.
*kafunga magoli 3
*Assist 0
*Mechi 5 alizocheza.

katika mwaka 2015 katika vilabu vyao na timu yataifa kiujumla wamefanya haya
¤Leonel mess katka mechi zote pamoja na zatimu ya taifa kafunga mabao 52, katoa assists 26 nakucheza michezo yote 62.
¤Tukija kwa ronaldo katka mechi zake zote madrid na ureno Kafunga mabao 57, assists 18 na michezo 58.

Kwa mwaka 2015 nani mkali wa mwenzake?

Address

Bomang'ombe
Dodoma

Telephone

+255659890363

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pallone Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share