19/05/2017
Thanks Dr.
! You have your big dream, an ambitious goal, a clear vision, a well-thought plan, work on it. Never despair. Persevere. Persist. Work hard. Work smart. Keep your faith high. Dreams always come to life when you . Always hope that tomorrow is going to be better than yesterday and even better than today. Success is always with those who stay the course! So, in achieving great things in life, no matter what comes your way, keep walking! Keep moving! No matter how many times you fall, keep walking! This is one of the most important lessons I am blessed to have learnt in this treacherous path of my beautiful life I am blessed to live. π―π―π―π―π―π―π―π―π―π―π―π―π―Kwenye maisha haya tunayoishi ukiwa na ndoto yako, ifanyie kazi. Usikate tamaa. Komaa. Haijalishi umekumbwa na dhoruba gani, ukaanguka - muhimu ni kwamba, inuka, kung'uta vumbi, ! Usisimame, usikae, usilale....piga mwendo! Tembea! Songambele! Mafanikio makubwa yamo humu duniani miongoni mwa watu wanaopambana bila kukata tamaa! Ndoto yako hata iwe kubwa namna gani, iwe inahusu kitu kigumu namna gani, isimamie, ipiganie! Usikate tamaa. Jaribu tena na tena! Kila ukianguka, inuka, jiulize, jirekebishe, jifunze, jipange upya, nenda tena! Hakuna kitu kikubwa kwako wala kigumu kwako. Ni wewe na kichwa chako, na kemikali zako mwilini. Endelea kupiga mwendo! Usikate tamaa! Keep walking! Keep moving! Keep on believing!