Mwakyusa General Supplier Handeni

Mwakyusa General Supplier Handeni Duka linauza bidhaa mbalimbali kwa jumla na reja reja kwa bei nafuu. Baadhi ya bidhaa zilizopo dukani ni pamoja na Ngano za Azania na Azam na Mchele karibu

Kwa mahitaji yako yote ya bidhaa za vyakula kama vile mchele, ngano na mafuta na bidhaa nyingine, kwa jumla na reja reja, Mwakyusa General Supplier ndio suruhisho lako. Bidhaa ni za ubora wa hali ya juu na bei zetu ni nafuu sana.

Kismat biscuit utazipata kwa bei nafuu pia
28/03/2017

Kismat biscuit utazipata kwa bei nafuu pia

Fursana kwa bei ya jumla utazipata kwa bei ya Tshs 9,600 tu Azam Embe kwa Tshs 11,500 tu! Karibu Mwakyusa General Suppli...
28/03/2017

Fursana kwa bei ya jumla utazipata kwa bei ya Tshs 9,600 tu Azam Embe kwa Tshs 11,500 tu! Karibu Mwakyusa General Suppliers!!

Tunazidi kuwakaribisha wateja wetu kwa bidhaa  za kila aina na kwa beii nafuuu kupitiliza!!!! Karibuni sanaaaa
22/03/2017

Tunazidi kuwakaribisha wateja wetu kwa bidhaa za kila aina na kwa beii nafuuu kupitiliza!!!! Karibuni sanaaaa

Mnakaribishwa maji ya uhai nusu na lita yapo kwa wingii!!! Karibuni sanaa wateja wetuuu
19/03/2017

Mnakaribishwa maji ya uhai nusu na lita yapo kwa wingii!!! Karibuni sanaa wateja wetuuu

Maji makubwa 12Lt yapo Dukani! Utayapata kwa bei ya Tshs 4,000 tu! Karibuni
21/11/2016

Maji makubwa 12Lt yapo Dukani! Utayapata kwa bei ya Tshs 4,000 tu! Karibuni

This is where "UHAI" water lives!!Karibu " Mwakyusa General Supplier Handeni.
31/08/2016

This is where "UHAI" water lives!!
Karibu " Mwakyusa General Supplier Handeni.

Karibu, kwetu sisi hapa Mwakyusa General Supplier, kila Mteja Ni mfalme, utahudumiwa vizuri!Welcome, every customer is t...
29/07/2016

Karibu, kwetu sisi hapa Mwakyusa General Supplier, kila Mteja Ni mfalme, utahudumiwa vizuri!
Welcome, every customer is treated as a king/queen, we will save you good at Mwakyusa General supplier Handeni!

Wapendwa karibuni kwenye ukurasa huu wa biashara. Biashara hii ni ya jumla na reja reja kwa bidhaa mbalimbali hasa za vy...
13/07/2016

Wapendwa karibuni kwenye ukurasa huu wa biashara. Biashara hii ni ya jumla na reja reja kwa bidhaa mbalimbali hasa za vyakula k**a vile Mchele, unga wa sembe, sukari, mafuta, Ngano n.k
Jina la kampuni yangu ni Mwakyusa General Supplier Handeni, tumeanza na maduka mawili kwa Handeni, moja likiwa barabara ya mahak**a ya mwanzo na la pili likiwa mzambarauni almaarufu kwa Bunto. Tutafika wilaya nyingine hivi karibuni.

Address

Mahakamani Road
Handeni

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:00
Tuesday 08:30 - 16:00
Wednesday 08:30 - 16:00
Thursday 08:30 - 16:00
Friday 08:30 - 16:00
Saturday 08:30 - 16:00

Telephone

0742 659659

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwakyusa General Supplier Handeni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwakyusa General Supplier Handeni:

Share