PunguBase Consultancy

PunguBase Consultancy PunguBase Consultancy was founded shortly after the Tanzanian government began to offer some of its services over the internet.

Customers who lack the time or knowledge of government procedures, PUNGUBASE CONSULTANCY HELP THEM.

30/12/2024
30/12/2024

Greatings from our very own SGR investment.

Ambao bado hamjaonja utamu wa SGR tujuane. Unaonja lini?

30/12/2024
30/12/2024

Wataalamu wa maeneo.
Hii inapatikana wapi?

📸
Maridadi Farid

30/12/2024

Bondia Bingwa wa Puerto Rico Paul Bamba (35), amefariki dunia.

Meneja wake ambaye ni Mwanamuziki maarufu wa Marekani Shaffer Smith almaarufu Ne-Yo ametangaza msiba huo.

Siku 6 zilizopita Bamba alishinda WBA Gold cruise-weight baada ya kumshinda Rogelio Medina.

Mwaka huu, Bondia huyo alishiriki mapambano 14 ambapo alishinda yote kwa knockout na kuivunja rekodi iliyowekwa na Mike Tyson.

Address

10 Mapande Street, Majohe
Ilala
10

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PunguBase Consultancy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PunguBase Consultancy:

Share