21/07/2023
IT’S TIME TO LEVEL UP!
*Karibu Jumamosi hii Kwenye EVENT ya Kitofauti, LEVEL UP EVENT.*
Upate nafasi ya Kujumuika na Wajasiriamali na Kujifunza Vitu Mbali Mbali Kuhusu Mbinu za Kujenga Biashara Kubwa na Namna Ya Kukuza Kipato Kupitia Sector ya Afya!
*Pia Usisahau Mafanikio Yanaendana Bega kwa Bega na Kukuza Mtazamo wako, Hivyo Utajifunza Vitu Vingi kutoka kwa Mgeni Rasmi *
*HII SIO YA KUKOSA!*
Event Itafanyika Jumamosi hii 22nd July, Pale Millennium Towers 1st Floor, Kwanzia Saa NNE Kamili Asubui. Kwa kiingilio Cha Shilingi TSH. 10,000/= TU