14/10/2014
Tusafishe vyoo tuchome takataka tufyeke nyasi zilizopo pembe zoni mwa nyumba zetu tufukie vidimbwi vya maji machafu kuna wengine hawana vyoo,jamanivyoo vya muhimu tusipo kuwa na vyoo mazingila hayata pendeza lazima mazingila yawe safi siku zote