Angaza Enterprises Tanzania.

Angaza Enterprises Tanzania. Mostly ONLINE BUSINESS

-quality goods and services that are easily accessible make both customers and non-customers enjoy their lives.

Enterprises Tanzania(AET)
🎀 We deliver quality products and services at affordable prices πŸ›οΈ | We offer community servicesπŸŽπŸ“¦.

πŸ“Ί SMART TV YA KISASA – SOLARMAX 32” ANDROID TVPata burudani ya kiwango cha juu nyumbani kwako kwa kutumia TV hii ya kisa...
30/03/2026

πŸ“Ί SMART TV YA KISASA – SOLARMAX 32” ANDROID TV
Pata burudani ya kiwango cha juu nyumbani kwako kwa kutumia TV hii ya kisasa kutoka Solarmax!
✨ Sifa Kuu:
βœ”οΈ Ukubwa: Inchi 32(Screen kubwa kwa muonekano mzuri)
βœ”οΈ Android TV – Pakua apps k**a YouTube, Netflix na Prime Video
βœ”οΈ Ubora wa picha: Real 4K (Ultra HD)
βœ”οΈ Frameless design – Mwonekano wa kisasa kabisa
βœ”οΈ Built-in Bluetooth & WiFi
βœ”οΈ Screen mirroring (Miracast)
βœ”οΈ Sauti kali ya HI-FI
βœ”οΈ Inakuja na DVB-T2 (huna haja ya decoder ya ziada)
πŸ”₯ Faida zake:
Inafaa kwa movies, mpira na YouTube
Inaunganisha kwa urahisi na simu yako
Muonekano mzuri ndani ya sebule
πŸ’° BEI: TSH 345,000 TU
🚚 Delivery: Mpaka mkononi kwako
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa uipate haraka!

POWER TILLER – EAGLE POWERTunatoa mashine ya kisasa ya kulima yenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa ufanisi kwenye mash...
30/03/2026

POWER TILLER – EAGLE POWER
Tunatoa mashine ya kisasa ya kulima yenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa ufanisi kwenye mashamba madogo na ya kati.
πŸ”Ή Injini yenye nguvu
πŸ”Ή Matumizi madogo ya mafuta
πŸ”Ή Rahisi kuendesha
πŸ”Ή Inadumu kwa muda mrefu
πŸ‘‰ Chaguo sahihi kwa mkulima anayelenga uzalishaji wa kisasa.

Enterprises Tanzania
services.

01/10/2025

PCM BUSINESS AGENCY πŸ‡ΉπŸ‡·.BEI K**A CHINA.Baiskeli ya umeme (Scooter ya umeme) πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Vipimo:(Specifications)- Kasi: 3 (Speed)- ...
29/07/2024

PCM BUSINESS AGENCY πŸ‡ΉπŸ‡·.BEI K**A CHINA.
Baiskeli ya umeme (Scooter ya umeme) πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Vipimo:(Specifications)

- Kasi: 3 (Speed)-
- Nyenzo+Materials): Msururu wa chuma(Steel)+plastiki ya ABS
- Njia ya kuanzisha(Kuwasha): Remote ya alarm + funguo
- Uwezo wa betri: 48-12A/48-20A
- Muda wa kuchaji: Masaa 6-8
- Ustahimilivu(Umbali baada ya kuchaji): KM 45-65
- Motor: 350-500W
- Kupanda: 30Β°
- Gurudumu: 2
- Kasi ya juu: 50km/h
- Taa ya mbele: Lens ya LED

βœ”οΈπŸ’°Agiza kwa laki nne na sabini 470k

21/05/2024

With Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL) – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers! πŸŽ‰

Business knowledge findings

17/04/2024

K**a Una Ndoto Ya Kuishi Kupitia BIASHARA Kuna Kitu Natamani Leo Ukijue Mapema

Ili UFANIKIWE Kwenye Biashara Yako.

Kuna Aina Kubwa 2 Za Biashara na Ni Muhimu Kila Mfanyabiashara Kuzijua Na Kuwa Nazo.

Ya Kwanza Inaitwa "SURVIVAL BUSINESS"

Hii ni aina ya biashara ambayo utaifanya ili Uweze Kumudu GHARAMA ZA MAISHA (Business That Enables You To Survive)

Hii ni ile biashara ya KAWAIDA SANA, Unaifanya ili kupitia hiyo uweze kulipa Kodi, Usafiri, Matibabu na Gharama za Kila Siku.

Biashara hii huwa ina sifa kubwa 2

Ya kwanza inakupa Faida Kidogo (Low Return Of Investment)

Na Ya Pili Uwekezaji Wake ni Mdogo Pia.

Na Kwa Sababu Uwekezaji Wake ni Mdogo Kiasi cha Kuleta LROI Basi ni wazi kuwa HAIWEZI KUKUFIKISHA MBALI KIMAISHA.

Au..ili ikufikishe mbali unahitaji KUIFANYA MIAKA MINGI SANA Kwa Sababu Faida Yake (ROI) ni Ndogo.

Aina ya pili inaitwa "BREKTHROUGH BUSINESS"

Hii ni aina ya biashara itakayokuwezesha Kupata Upenyo Katika Maisha, Yaani "KUTOBOA"

Hii ni biashara ambayo itakupa UTAJIRI Na Maisha MAZURI Tena ndani ya MUDA MFUPI SANA!

Kwa Sababu....

Inatengeneza Faida Kubwa (High Return Of Investment)

Mara Nyingi Hela Uliyowekeza Inaweza Kujizalisha Hata Mara Tatu.

Mfano, Kupitia 10M Unatengeneza 30M

Biashara ya aina hii hata uwekezaji wake huwa unakuwa mkubwa.

Ndio Maana, Wengi Huwa Wanatumia SURVIVAL BUSINESS Kutengenezea BREAKTHROUGH BUSINESS.

Yaani...Unafanya Biashara Fulani Ambayo Itakuwa Inakupa Faida Ndogo.

Ile Faida Ndogo Unaenda Kuiwekeza Katika Biashara Itakayokupa Faida Kubwa

Simply ni Kwamba, Unatumia Biashara Fulani Kujenga Biashara Fulani.

Na Hivyo Ndivyo UTAJIRI UNAVYOTENGENEZWA.

Na Unatakiwa Ujue, Hii Ni Biashara Itakayonisaidia KUSUKUMA SIKU.

Afu Hii Ni Biashara Itakayonisaidia KUTOBOA KATIKA MAISHA.

Kuna watu wanafanya biashara miaka mingi ila HATUA ZAO NI NDOGO

Cause Hizo Sizo Biashara Zinazopaswa Kuwafanya WATOBOE.

Ila Zinawasaidia KUSURVIVE.

Kwahiyo, Utajiri Unapatikana Kwenye Biashara, Lakini Sio Kila Biashara Inaweza Kukupa Utajiri.

Zipo Biashara Zinazoweza Kukupa Utajiri Na Zipo Zinazokusaidia KUSURVIVE.

Wewe Unafanya Ipi?

NB; Unaweza Kufanya Survival Business na Ukatoboa (Ila Itakuchukua Miaka Mingi Sana)

Kwa Sababu ROI ni NDOGO MNO!

K**a Unataka Kuwa Tajiri...Swali la KujiulizaπŸ‘‡πŸΏ

Ni Biashara Zipi Zina "HIGH RETURN OF INVESTMENT" Ili Uwekeze Katika Hizo.

Nsumba Herbal Clinic

//
Mfakoshine Enterprises - T Ltd

04/04/2024

Usivunje mahusiano na mtu kwa sababu umehitaji msaada kwake na unajua...
..ana uwezo wa kukusaidia ila hajakusaidia.

Sio kila wakati mtu atakupa msaada pale unapotaka.

Kuna wakati haitawezekana kwa sababu:

1. Kuna shida kubwa zaidi itakuja mbele yako ambayo Mungu ...
..anawahifadhi hao watu ili waje kukusaidia shida hiyo itakapotokea.

Wakikusaidia sasa hivi, hiyo shida kubwa itakapotokea...
..wanaweza wasiwe msaada kwa sababu wataona walishafanya.

Kiufupi ni kuwa Mungu anawahifadhi ili...
..waje kukupa Msaada Mkubwa zaidi.

Muda wao haujafika, ukifika watafanya na...
..utashukuru kwamba hawakukusaidia katika shida yako ya sasa hivi.

2 ). Kuna uvumilivu unatakiwa kujengewa...
..ili Ukomae ufikie ndoto zako.

Ni k**a mtoto usipomruhusu aanguke wakati anajifunza...
..kutembelea, hataweza kutembea.

Kuna mambo yanatokea na unaachwa peke yako...
..ili ujenge misuli ya changamoto kubwa mbele yako na kujifunza kusimama peke yako.

Uko darasani, usikimbie mtihani.

3 ). Kuna watu wana kiburi na wakikusaidia itakuwa matangazo kila kona.

Wanaamini hauwezi kufanikiwa bila wao.

Unapokuwa na shida hata k**a wana uwezo wa kukusaidia...
..Mungu anawazuia ili wasije kujisifu.

Mungu anataka kuonesha kuwa anaweza KUKUFANIKISHA BILA wao, atatumia watu wengine.

4 ). Kuna misaada ambayo inakuja na masharti ambayo...
..yanaweza kukudhuru na kukupotezea mwelekeo wa maisha kabisa.

Kuna watu kwa sababu ya misaada waliyopokea...

Iliwalazimu kukana imani yao au kufanya mambo ambayo...
..wameyajutia maisha yao yote na kuwakosesha imani.

Kuna misaada inaambatana na ndoano ndani yake.

Mungu anawazuia kwa sababu anakupenda na...
..hataki uingie huko usije ukaharibikiwa.

Jifunze kushukuru!

K**a mtu hajakusaidia USIMGEUZE kuwa ADUI yako.

Endelea kupambania MALENGO YAKO kuna siku utafanikiwa tu.

Kumbuka sio kila ambaye hakupi Msaada unapohitaji anakuchukia..
..wengine wanatumiwa na Mungu kukusaidia kwa kutokukupa unachotaka.

K**a umejifunza kitu comment neno "NIMEJIFUNZA"

||JOEL NANAUKA

//
MFAKOSHINE ENTERPRISES T LTD.

PCM BUSINESS AGENCY,πŸ‡¨πŸ‡³BEI K**A CHINA.Kwa Tsh 46,000/=Tu, unapata blender nzuri kabisa kwa matumizi binafsi ma biashara.
20/03/2024

PCM BUSINESS AGENCY,πŸ‡¨πŸ‡³BEI K**A CHINA.
Kwa Tsh 46,000/=Tu, unapata blender nzuri kabisa kwa matumizi binafsi ma biashara.

ONLY RESULTS MATTER,NOT VAST WORDS/PLANS || MATOKEO PEKEE NDIYO MUHIMU SIYO MANENO WALA MIPANGO.
11/02/2024

ONLY RESULTS MATTER,NOT VAST WORDS/PLANS || MATOKEO PEKEE NDIYO MUHIMU SIYO MANENO WALA MIPANGO.

Address

Dar Es Salaam
Iringa
15116

Opening Hours

Monday 06:00 - 21:45
Tuesday 06:00 - 21:45
Wednesday 06:00 - 21:45
Thursday 06:00 - 21:45
Friday 06:00 - 21:45
Saturday 06:00 - 21:45
Sunday 18:00 - 21:45

Telephone

+255733343569

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Angaza Enterprises Tanzania. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Angaza Enterprises Tanzania.:

Share