Yasmin Entrepreneur GROUP.

Yasmin Entrepreneur GROUP. Huduma ya mavazi na mafunzo ,ushonaji nguo, bidhaa za vyakula na mbogamboga.

" SHANGWE BADO LINA      ENDELEA"😂😁😀👉Jipatie mavazi msimu huu kwa bei ya offa punguzo la 15%👉Mafunzo ya Ushonaji kwa gha...
22/10/2022

" SHANGWE BADO LINA ENDELEA"😂😁😀

👉Jipatie mavazi msimu huu kwa bei ya offa punguzo la 15%

👉Mafunzo ya Ushonaji kwa gharama nafuu zaidi.

👉Huduma za mbogamboga k**a kuku.

"NINI HUJAAMBIWA "?1.👉Sisi ndiyo jibu la Mwili wako,Tunakushonea nguo za aina zote kwa gharama nafuu zaidi ,tuna kuuzia ...
21/10/2022

"NINI HUJAAMBIWA "?

1.👉Sisi ndiyo jibu la Mwili wako,Tunakushonea nguo za aina zote kwa gharama nafuu zaidi ,tuna kuuzia vyakula na mbogamboga.

2.👉Mafunzo ya ushonaji na udarizi nguo kwa gharama nafuu zaidi

Kwa oder wasiliana nasi kwa

0752827092 WhatsApp.
SLP 90,
Luhunga,Mufindi ,postcode 104 Kitwite.

"Njoo tukuhudumie"😀😁🙏

13/10/2022

Kabla ya kulala kwenye usingizi wa milele ndani ya futi sita, Gwiji wa masuala ya fedha George Samuel Clason aliwahi kusema kuwa;-

1. Pesa huja kirahisi na kwa kiwango kinachoongezeka kwa yoyote yule ambaye atatenga si chini ya asilimia kumi (10%) ya mapato yake ili kujenga utajiri wake wa baadae na wa familia yake.

2. Pesa hufanya kazi kwa uaminifu na kwa upendo kwa mmiliki mwenyewe busara ya kuwekeza mahala penye faida, na huongezeka k**a makundi ya wanyama kadri siku zinavyosonga.

3. Pesa hung'ang'ana kwa mmiliki mwenye ulinzi na mwenye kuwekeza kwa tahadhari ambaye huwekeza kulingana na ushauri wa watu wenye busara na uzoefu juu ya uwekezaji huo.

4. Pesa humpotea yeyote ambaye hujaribu kuwekeza kwenye biashara ama uwekezaji ambao haujui na hana uelewa nao wala haujapitishwa na kuthibitishwa na wenye uelewa juu ya biashara hiyo.

5. Pesa humkimbia mmiliki yeyote ambaye hulazimisha kuwekeza mahala pasiposhatili ama pasipowezekana kwa ushauri wa watu wasioujua uwekezaji huo na kwa tamaa zake za kutataka utajiri wa haraka.

17/09/2022
03/09/2022
11/08/2022

The Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) is an Executive Agency under the Ministry of Industry and Trade responsible for business administration and regulation of the laws; nam | Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ilianzishwa chini ya sheria ya Wakala za Serikali Na. 30 y...

Address

Luhunga
Iringa
P.O.BOX90 .

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yasmin Entrepreneur GROUP. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yasmin Entrepreneur GROUP.:

Share