17/02/2022
Hongereni sana kwa utumishi uliotukuka, ilikua ni timu safi sana.Kila lenye kheri Dkt Angeline Mabula.
:Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akimkabidhi Ofisi aliyekuwa Naibu wake Dkt Angeline Mabula ambaye sasa ni Waziri wa Wizara hiyo jijini Dodoma.