22/07/2024
Kwa mara ya kwanza kabisa exclusive interview na ndani ya kipindi cha ya Tega sikio kuanzia 10.00 Jioni mpaka saa 2.00 usiku tutakuwa nao mjengoni tukipiga nao story kuhusu kuelekea kwenye Party ya miaka sita ya tarehe 28 pale savannah.
Cc