The LordFather Company

The LordFather Company The LordFather Company is an established winery in Southern Highlands of Tanzania delivering delicio

01/09/2026

Umewahi Tamba kwa Shilingi buku mbili Boss.

Bado tunaendelea Kutamba na Tembo.

22/08/2026

Wikiendi hii, Tembo zinakusubiri.

Piga simu tu Kisha ufanyiwe delivery.
Hakuna haha ya kufika Ofisini.

Simu: 0768 482 916

15/08/2026

Endelea kujiachia na Tembo Kibabe.

Em watag wana unawajua wanaojiachia wakitamba na Tembo Fortified Red Wine.

27/07/2026

Bado tunaendelea Kutamba na Tembo,
Huku tukiwa tumekuletea Tembo Lita 1 na 5.
Unaanchaje kujipatia Tembo wako.

07/07/2026

HERI YA SABASABA,

Leo tunaungana na Watanzania wote kusherehekea Sabasaba, siku ya biashara, ubunifu na maendeleo.

Na kusherehekea nawe, SABASABA OFFER BADO INAENDELEA.

Jipatie:
Silhouette Roselle Red Wine
Silhouette Pineapple White Wine

Kwa PUNGUZO LA 30%

Bei ya kawaida: TSH 10,000
Leo ni TSH 7,000 TU.

Usikose nafasi hii ya kufurahia ladha halisi kwa bei ya kipekee. Ofa inaendelea hadi 14 Julai, lakini usisubiri hadi dakika za mwisho.
Agiza sasa: 0768 482 916

20/06/2026

Kionjo cha kipekee kwa weekend yako,

Kazi za wiki nzima zimeisha, sasa ni zamu ya kupumzika na Tembo. Bei ni ile ile, ni Tsh 2,000 tu.
Sisi tuko tayari kukusogezea popote ulipo. Tukuletee wapi leo?

DM wetu au piga 0768 482 916 kupata ofa yako ya wikendi.

22/05/2026

Wikendi imefika! 🐘🔥
Tamba na Tembo.
Kali. Imara. Haishindwi.
Pole pole au kwa kasi chaguo ni lako.

Umepata Tembo wako wa jioni? Unasubiri nini? Chukua chupa yako sasa!
20/05/2026

Umepata Tembo wako wa jioni?
Unasubiri nini? Chukua chupa yako sasa!


The Lordfather Company inatafuta vijana 05 wachangamfu wa kujiunga na timu yetu ya mauzo hapa Iringa mjini.The Lordfathe...
15/05/2026

The Lordfather Company inatafuta vijana 05 wachangamfu wa kujiunga na timu yetu ya mauzo hapa Iringa mjini.

The Lordfather Company is looking for 05 energetic Sales Agents to join our team in Iringa City. Do you have the hustle? We want you!

📩 How to Apply / Jinsi ya Kuomba:
Send your CV & Application Letter to:
[email protected]
WhatsApp: +255 768 482 916
Deadline / Mwisho: May 25, 2026

Hiring TanzaniaJobs

TAMBA NA TEMBO!Ni muda wa kujivunia kilicho chetu! Tembo ni zaidi ya kinywaji, ni ladha ya nyumbani, ni ubora wa Tanzani...
14/05/2026

TAMBA NA TEMBO!

Ni muda wa kujivunia kilicho chetu!
Tembo ni zaidi ya kinywaji, ni ladha ya nyumbani, ni ubora wa Tanzania, ni fahari yetu sisi.

Popote ulipo, wakati wowote, chagua Tembo na tamba kwa kujiamini ukijua unakunywa ubora wa kwetu.

TAMBA NA TEMBO: Jivunie ubora wa kwetu

Address

Kitwiru B, Kitwiru
Iringa

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Telephone

+255768482916

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The LordFather Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to The LordFather Company:

Shortcuts

Share