Rizikia Enterprises

Rizikia Enterprises Dealing with entrepreneur services and skills also providing skills and services on information and

Kwa Mia tano tu ongea na ladha yako
17/07/2019

Kwa Mia tano tu ongea na ladha yako

Somewhere in Mafinga
28/12/2018

Somewhere in Mafinga

Dada Restituta asante Kwa kutuamini ili tufanye kazi yako. Stay blessed|Rizikia Media   Enterprises
02/12/2018

Dada Restituta asante Kwa kutuamini ili tufanye kazi yako. Stay blessed|Rizikia Media Enterprises

16/11/2018
Hello Kwa wale wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha Elimu Mkwawa. Upo umoja wa kiktisto wa wanafunzi wa vyuo vi...
31/10/2018

Hello Kwa wale wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha Elimu Mkwawa.
Upo umoja wa kiktisto wa wanafunzi wa vyuo vikuu ujulikanao K**a.

USCF-CCT MUCE.
Karibu sana

28/08/2018

Hello habari ya muda huu.

TIME MANAGEMENT
Hivi ikitokea kwamba kila siku unapoamka unakuta Kuna Tsh. 86,400/= zipo mezani kwako na unatakiwa uzitumie ile kesho pia zije nyingine, but kila inapofika saa sita Usiku zile fedha zinatoweka zinakuja nyingine na haijalishi K**a utazitumia au hutozitumia.

Je, Unadhani ww utafanyaje?? Utaniacha fedha na useme Leo sizichukui ntachukua za siku inayofuata au utafanyaje????

But am sure kwamba hutokubali kabisa pesa zile ifike saa sita hujazitumia, najua utazitumia effectively ili ziishe na kesho yake zinje nyingine nazo uzitumie kwa uhakika.

LESSON.
The same applies to time, kila siku ina masaa 24 yenye sekunde 86,400 na kila siku inapofika saa sita hutoweka na kuja sekunde nyingine 86,400 je unazitumia effectively K**a anavyotumia katika pesa, as explained above. Keep on time management.

Karibu tujifunze Compute Kwa pamoja.   Enterprises
06/08/2018

Karibu tujifunze Compute Kwa pamoja.
Enterprises

Karibu kwa huduma mbalimbali za video, picha na graphics designing. Kwa Gharama nafuu kabisa.  - Tanzania Call: 0754 233...
27/06/2018

Karibu kwa huduma mbalimbali za video, picha na graphics designing. Kwa Gharama nafuu kabisa.
- Tanzania
Call: 0754 233 898

12/04/2018

Leo Nilipokuwa katika kutafakari, nakawa nahitaji zaidi kujua what does money means.

Kwa haraka haraka nikabaini kwamba Money is a reward after solving someone's problem.

So if you want to get money means you must first solve the problem of someone else.

No money can flow freely May be umeokota au umepewa K**a Zawadi kutoka kwa mtu.

Now what are these problems that we need to solve them so that we can get money.

Katika kila jamii haijawahi kuwapo jamii Isiyokuwa na matatizo au changamoto, so k**a Kijana mwenzangu mwenye kiu ya mafanikio and you need to get money.

Usitafute pesa as it is tafuta kutataua matatizo na changamoto and the money will flow upon you.

So wherever you are, be a problem solver you will get money that will help you on doing your own activities.

Ipo mifano mingi mwingine anaweza Sema we Rizikia unasema nn, hebu Tizama mama anayeuza chakula anapata pesa kwa sababu anatatua tatizo la njaa kwetu.

Kila siku kuna matangazo ya kutengeneza computer, Hawa watu Hawafanyi bure, wanalipwa kupitia kutatua matatizo.

So usizikimbie challenges Ndio daraja lako hilooo

Riziki Samwel
Visions

Mafinga is loading............
25/03/2018

Mafinga is loading............

Huduma ya Injili yazidi kupamba moto
10/03/2018

Huduma ya Injili yazidi kupamba moto

Address

Iringa

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

0754233898

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rizikia Enterprises posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share