08/11/2023
SUPER GRO
Nikirutubisho Cha ardhi na mimea.
➡️huwezesha maji kupenya Hadi tabaka la tatu la udogo ambalo huwa na madini na virutubisho vingi.
➡️Husaidia maua yasipuputishwe na upepo hivyo huongeza uwingi wa mazao mara tatu zaidi ya matarajio.
➡️Kwenye ardhi nikamagundi maana huwezesha madawa ya kilimo aina zote KUSHIKA zaidi kwenye majani hivyo huwezakuuawadada kwa urahisi zaidi.
➡️Huongeza uwezo wa kutunza unyevu unyevu kwenye ardhi.
➡️Huyeyusha Hali ya mafuta mafuta kwenye majani ya mmea hivyo hutawanyisha maji kwa urahisi zaidi.
➡️Huleta Rangi ya kijani kwenye mmea wakati wote.