Agricpays Tanzania

Agricpays Tanzania Agricpays Tanzania is the Agribusiness Enterprise which is dedicated on Agricultural Production, Processing and Trade of Agro-produce and Agro-inputs.

We offer agricultural extensions advisory services to farmers, and supply of best agricultural inputs which has been proven to show superb results on the field. Agricpays Tanzania also have a well designed and customized Financial Services to Farmers and other interested clients. Recognizing the importance of improved Technology in Agriculture, Agricpays Tanzania partners with best companies in the world to ensure that best and affordable technologies are available to farmers in in Tanzania.

Mbegubora Huichukui Muda Kuaminika kwa watu🌽🌽πŸ”₯πŸ”₯Ndio maana AMINIKA WH 505 imeweza kuaminiwa na wakulima wa mikoa mingi ha...
30/04/2026

Mbegubora Huichukui Muda Kuaminika kwa watu🌽🌽πŸ”₯πŸ”₯

Ndio maana AMINIKA WH 505 imeweza kuaminiwa na wakulima wa mikoa mingi hapa Tanzania.

Je, ilikuchukua muda Gani kuiamini mbegubora ya mahindi unayoipendelea?

Ni mbegu Gani hiyo??

Kwa mahitaji ya mbegubora za mahindi 🌽🌽 wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa mkulima kwa kupiga simu ☎️ au tuandikie ujumbe mfupi WhatsApp πŸ“± kupitia namba #0657755143 tukuhudumie 🀝

Mkombozi F1 πŸ‰πŸ”₯Ni   ya tikiti maji inayokupa matokeo mazuri kila wakati.Inazaa matunda makubwa, yenye sukari nyingi hivyo...
30/04/2026

Mkombozi F1 πŸ‰πŸ”₯

Ni ya tikiti maji inayokupa matokeo mazuri kila wakati.

Inazaa matunda makubwa, yenye sukari nyingi hivyo hupendewa sana sokoni. Hukomaa mapema (siku 85-95) tangu kuota shambani.

Inapatikana kwa kipimo cha 250g, 500g.

Kwa mahitaji ya mbegubora za mbogamboga wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa mkulima kwa kupiga simu ☎️ au tuandikie ujumbe mfupi WhatsApp πŸ“± kupitia namba #0657755143

24/04/2026

Njombe! Njombe! Tractor ya Cobley Imetufikia 🚜πŸ”₯πŸŒΎπŸ«‘πŸ‰πŸ«˜πŸ†

Tuko katika viwanja vya mji mwema. Tumekuletea Tractor size mbili, 75HP na 102HP. Karibu UNUNUE MASHINE yako kwa cash au kwa mkopo wenye riba nafuu siojitaji dhamana.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa mkulima kwa kupiga simu ☎️ au tuandikie ujumbe mfupi WhatsApp πŸ“± kupitia namba #0657755143

IFAHAMU AFRICA RED F1 Hybrid  MBEGU YA KITUNGUU MAJI πŸ§… πŸ§… πŸ”₯Je, wewe una shauku ya kupata mavuno Bora ya zao la kitunguu? ...
23/04/2026

IFAHAMU AFRICA RED F1 Hybrid MBEGU YA KITUNGUU MAJI πŸ§… πŸ§… πŸ”₯

Je, wewe una shauku ya kupata mavuno Bora ya zao la kitunguu? Hapa umefika!

βœ… Africa Red huzaa vitunguu vikubwa, vyenye rangi nyekundu iliyokoleaπŸ‘
βœ… Hukomaa mapema
βœ… Inastawi katika mazingira tofauti tofauti
βœ… Inapendwa sokoni – wanunuzi wengi hupendelea kununua kitunguu aina ya Africa Red

Ukinunua pakiti moja ya mbegu utapata idadi ya mbegu 50,000

Kwa mahitaji ya mbegubora za mbogamboga wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa mkulima kwa kupiga simu ☎️ au tuandikie ujumbe mfupi WhatsApp πŸ“± kupitia namba #0657755143

IFAHAMU INDRA F1 – HOHO BORA KWA MAVUNO YA UHAKIKA πŸ«‘ πŸ«‘ πŸ«‘ βœ”οΈ Huzaa matunda makubwa, laini na yenye umbo zuri la kuvutia s...
23/04/2026

IFAHAMU INDRA F1 – HOHO BORA KWA MAVUNO YA UHAKIKA πŸ«‘ πŸ«‘ πŸ«‘

βœ”οΈ Huzaa matunda makubwa, laini na yenye umbo zuri la kuvutia sokoni
βœ”οΈ Inayo rangi ya kijani kibichi kilichokolea
βœ”οΈ Hukupa mavuno mengi kwa kipindi kirefu zaidi
βœ”οΈ Hustahimil magonjwa mbalimbali ya FANGASI
βœ”οΈ Inastawi kilimo Cha nne na kilimo Cha nyumbakitalu

Kwa mahitaji ya mbegubora za mazao mbalimbali tafadhali wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa mkulima kwa kupiga simu ☎️ au tuandikie ujumbe mfupi WhatsApp πŸ“± kupitia namba #0657755143

23/04/2026

SUPER MAIZE FOR FLOUR MAKING AVAILABLE πŸ’―πŸ”₯🌽

Origin: Tanzania
Purity: 99% (machine cleaned)
Moisture: 11%
Location of Warehouse: Arusha

The product is very suitable for flour making. It's available in Arusha city.

For inquiries please contact us directly through call ☎️ or WhatsApp πŸ“± +255657755143

You can also write to us via email: [email protected]

23/04/2026

Best DRKB available for sale 🫘πŸ”₯🀝

For inquiries please contact us via
Email πŸ“¨ [email protected]
WhatsApp: +255657755143

22/04/2026

Cobley Tractor Sasa inapatikana aina/size tatu ambazo ni🚜🚜🚜

1) 75HP 4WD
2) 102HP 4WD
3) 140HP 4WD

Tractor 🚜 imara zenye nguvu ya kustahimili mazingira magumu ya mashamba k**a milima, mawe au matope. Chaguo la kipekee kwa wenye mashamba makubwa. Chaguo za uhakika kwa watoa huduma wa kulima/kuchabanga/Kusafisha bidhaa za kilimo.

Tunauza cash au kwa mkopo. Mkopo hauna dhamana kwani tractor ndio dhamana yenyewe. Nunua Sasa unufaike na offer ya punguzo la Riba ya mkopo, ambapo kwa kipindi Cha offer riba itakuwa asilimia 10% tu kwa mwaka. Spea zake zinapatiaka nchi nzima Kwa bei nafuu.

WAKATI NI SASA, FANYA MAAMUZI LEO🀝

Kwa mahitaji ya tractor wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa mkulima kwa kupiga simu ☎️ au tuandikie ujumbe mfupi WhatsApp πŸ“± kupitia namba #0657755143

Ifahamu Dudu Agrikill 29 SC Kiboko ya Wadudu waharibifu shambani kwako.β€’Ni kiua dudu chenye wigo mpana wa kudhibiti wadu...
22/04/2026

Ifahamu Dudu Agrikill 29 SC Kiboko ya Wadudu waharibifu shambani kwako.

β€’Ni kiua dudu chenye wigo mpana wa kudhibiti wadudu kwa njia ya mguso/contant na mguso tumbo/trans-laminar.

β€’Ina uwezo mkubwa wa kudhibiti wadudu kwa kupenya kwenye jani/trans- laminar action.

Ina uwezo mkubwa wa kuangamiza
*Kantangaze/Tuta-absoluta, Aphids/ mdudu mafuta, Thrips, mites na caterpillar.* kwenye Nyanya, Cabbage, vitunguu, tikiti, pilipili n.k.

*Dosage rate:* 10mls kwenye 20Ltr.

Dudu agrikill zipo za ujazo wa 1L, 500mls na 100mls.

Kwa mahitaji ya za kilimo wasiliana nasi kupitia namba ya huduma kwa mkulima kwa kupiga simu ☎️ au tuandikie ujumbe mfupi WhatsApp πŸ“± kupitia namba #0657755143

Address

Gangilonga
Iringa
IRINGATANZANIA5058

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255657755143

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agricpays Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Agricpays Tanzania:

Share

Category