JASAS Printers

JASAS Printers Tunajivunia kutoa huduma bora na msaada wa kiufundi kwa wateja wetu.

Tuko hapa kukusaidia kuchagua bidhaa sahihi kulingana na mahitaji yako ya uchapishaji, huku tukihakikisha unapata ushauri wa kitaalamu na majibu ya haraka kwa maswali yako yote.

09/05/2026

3 in 1 Automatic Cap Printing Machine Sublimation Hat Heat Press Cheap Price For Sale F136.
Warranty: 1 Year
Key Selling Points: Easy to Operate,Combination Machine.
Marketing Type: Hot Product 2025.
Function: cap, t-shirt logo print machine.
After Warranty Service: Video technical support, Online support, Spare parts.
Applicable Industries: Garment Shops, Home Use, Retail, Printing Shops, Advertising Company.
Usage: Cloths Printer, Fabric Printer, logo printer, sublimation printer, t-shirt printer

Inafanya kazi gani?1) Inachukua image kutoka kwa drum (CMYK).2) Inaiweka kwa usahihi kwenye karatasi.3) Inahakikisha pri...
08/05/2026

Inafanya kazi gani?
1) Inachukua image kutoka kwa drum (CMYK).
2) Inaiweka kwa usahihi kwenye karatasi.
3) Inahakikisha print inatoka clear na aligned vizuri.

⚠️ Dalili za Transfer Belt kuharibika:
1) Mistari kwenye print.
2) Rangi hazitoki sawa.
3) Print inakuwa faded au inachanganyika.
4) Smudges au doa kwenye karatasi.

Sio kila sticker ni ya biashara yako.Chagua inayoongea kwa niaba ya brand yako.Sticker Paper 135gsm imeundwa kwa wale wa...
07/05/2026

Sio kila sticker ni ya biashara yako.
Chagua inayoongea kwa niaba ya brand yako.
Sticker Paper 135gsm imeundwa kwa wale wanaojali detail.
— uso laini, finish safi
— rangi zinabaki hai bila kufifia
— inakaa vizuri bila kuharibu muonekano
Ni ile quality ambayo mteja anaiona kabla hata hajagusa bidhaa.
📍 Kariakoo – Dar es Salaam
📞 0653942245
✨ Jaribu leo, utofauti utaonekana papo hapo.

Automatic Cap Machine 🧢Print kofia kwa urahisi & haraka! 🔥📍 JASAS – Kariakoo📞 0653942245
06/05/2026

Automatic Cap Machine 🧢
Print kofia kwa urahisi & haraka! 🔥

📍 JASAS – Kariakoo
📞 0653942245

📸Inkjet Photo Paper – Ubora Unaonekana!A4 & A3 | 115gsm, 200gsm, 230gsm, 260gsm- Rangi kali na ang’avu- Glossy finish ya...
05/05/2026

📸Inkjet Photo Paper – Ubora Unaonekana!
A4 & A3 | 115gsm, 200gsm, 230gsm, 260gsm
- Rangi kali na ang’avu
- Glossy finish ya kuvutia
- Inafaa kwa printers zote za Inkjet
📍 Kariakoo – Dar es Salaam
📞 0653942245
🚀 Print tofauti, onyesha ubora!

Ongeza style kwenye vinywaji vyako! 🍻Frosted Beer Mug perfect kwa sublimation printing✔️ Inachapika logo & majina clear ...
04/05/2026

Ongeza style kwenye vinywaji vyako! 🍻
Frosted Beer Mug perfect kwa sublimation printing

✔️ Inachapika logo & majina clear sana
✔️ Muonekano wa kipekee (frosted finish)
✔️ Inafaa kwa zawadi, events & biashara

📍 JASAS – Kariakoo
📞 0653942245

Switch Cable Epson L850 – Power ya Uhakika!Usikubali printer yako isimame kwa sababu ya cable mbovu.Pata switch cable ya...
02/05/2026

Switch Cable Epson L850 – Power ya Uhakika!
Usikubali printer yako isimame kwa sababu ya cable mbovu.
Pata switch cable ya L850 yenye uimara na usalama wa hali ya juu.
✅ Inatoa power stable.
✅ Inadumu muda mrefu.
✅ Inafaa perfect kwa Epson L850.
📍 Kariakoo – Dar es Salaam
📞 0653942245
👉 JASAS – vifaa vya uhakika kwa printer zako!

IJUMAA KAREEM:Mwenyezi Mungu akupe wewe na familia yakobaraka, afya njema na mafanikio mema 🤲Iwe siku ya kheri, faraja n...
01/05/2026

IJUMAA KAREEM:
Mwenyezi Mungu akupe wewe na familia yako
baraka, afya njema na mafanikio mema 🤲
Iwe siku ya kheri, faraja na dua zako zikubaliwe.
Ijumaa Njema!

Labels zako zinaonekana kawaida sana? ❌Upgrade na PET Sticker 🔥✔️ Premium look✔️ Zinadumu muda mrefu✔️ Stock ipo📍 JASAS ...
01/05/2026

Labels zako zinaonekana kawaida sana? ❌
Upgrade na PET Sticker 🔥
✔️ Premium look
✔️ Zinadumu muda mrefu
✔️ Stock ipo
📍 JASAS – Kariakoo
📞 0653942245

Transfer Belt C364 🔧Print quality inarudi k**a mpya!📍 JASAS – Kariakoo📞 0653942245
30/04/2026

Transfer Belt C364 🔧
Print quality inarudi k**a mpya!
📍 JASAS – Kariakoo
📞 0653942245

Mistari kwenye print? au haipiki vizuri? 🤔Suluhisho ni Fuser Inner Roller C554✔️ Inarudisha ubora wa print✔️ Inafanya ma...
29/04/2026

Mistari kwenye print? au haipiki vizuri? 🤔
Suluhisho ni Fuser Inner Roller C554
✔️ Inarudisha ubora wa print
✔️ Inafanya mashine ifanye kazi smooth
📍 JASAS
📞 0653942245

Address

Magila Street
Kariakoo
16651

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255653942245

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JASAS Printers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JASAS Printers:

Share