Ubuyu midia habar za ulimwengu

Ubuyu midia habar za ulimwengu Yanga fans

Wananchi tukiamua jambo letu🔥🔥🙌🏽kumekicha 🤠🤠😎😎
04/07/2026

Wananchi tukiamua jambo letu🔥🔥🙌🏽kumekicha 🤠🤠😎😎

Itengenezwe Lipa namba ya Pacome watu wamshike mkono iwe hewani kwa miezi miwili ili avunevune maana future yake imehari...
01/07/2026

Itengenezwe Lipa namba ya Pacome watu wamshike mkono iwe hewani kwa miezi miwili ili avunevune maana future yake imeharibikia uwanjani akitetea jezi yetu🙏🙏🙏🤳🤳

Wananchiiiiiii naendelea vzl mungu ni mwema msichoke kuniombea 💚💚💛💛🙏🙏
01/07/2026

Wananchiiiiiii naendelea vzl mungu ni mwema msichoke kuniombea 💚💚💛💛🙏🙏

Champion 🏆💪 tuko pamoja wananchi msichoke kuniombea  wapendwa wewe ni shujaa waleo ni histolya kubwa sana siku yakubeba ...
30/06/2026

Champion 🏆💪 tuko pamoja wananchi msichoke kuniombea wapendwa wewe ni shujaa waleo ni histolya kubwa sana siku yakubeba kombe nakuvunjika mchezaji kwa Tanzania na Africa haija wahi t**e ni mala ya 1 Leo

Kuna wakati nawaza K**a Inawezekana Huyu Hersi na GSM wakatazwe Kujihusisha na Mpira la Sivyo Dah😢😢Imagine msimu ujao Mo...
27/06/2026

Kuna wakati nawaza K**a Inawezekana Huyu Hersi na GSM wakatazwe Kujihusisha na Mpira la Sivyo Dah😢😢

Imagine msimu ujao Mossi Nduwumwe, Ki Aziz Stephanie na Allan Okello watacheza Team Moja Na Hapo Mzize Atakuwa Amepona Nyie Nyie Nyie Duh KUTOKA SINGIDA BLACK STAR 🙈🙈🙈🙈

Mbappe na Barcola wanawashushia Motoo Senegal🇸🇳. Chuma 2-0Mbappe⚽ 66'Barcola ⚽ 82'Senegal🇸🇳 ndo basi teenaa!!
16/06/2026

Mbappe na Barcola wanawashushia Motoo Senegal🇸🇳.

Chuma 2-0
Mbappe⚽ 66'
Barcola ⚽ 82'

Senegal🇸🇳 ndo basi teenaa!!

FT: Spain 0 Vs 0 Cape VerdeGolikipa wa Cape Verde Josimar José Évora Dias maarufu Vozinha akiwa na umri wa Miaka 40 anao...
15/06/2026

FT: Spain 0 Vs 0 Cape Verde

Golikipa wa Cape Verde Josimar José Évora Dias maarufu Vozinha akiwa na umri wa Miaka 40 anaonyesha uwezo wa hali ya juu kabisa

Wanauliza wahenga ngapi hapo 🤠🤠🤠
13/06/2026

Wanauliza wahenga ngapi hapo 🤠🤠🤠

Nazani tunaelewana hapa kwaukubwa🤠🤠🤠👉🤓🤓
11/06/2026

Nazani tunaelewana hapa kwaukubwa🤠🤠🤠👉🤓🤓

Sorry kuna mwenye swali hapa nyoshakidole Kishan jibu swali 🤠🔥🔥🤓🤓🤓
01/06/2026

Sorry kuna mwenye swali hapa nyoshakidole Kishan jibu swali 🤠🔥🔥🤓🤓🤓

Address

Dar Es Salaam
4500

Telephone

+255742496777

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ubuyu midia habar za ulimwengu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share