29/07/2026
β¨ NEW ARRIVAL β TAIT ZA BANA TUMBO β¨
Wanadada, huu ndio muda wa kujipa confidence na umbo zuri! π€ Tumeshusha tait za bana tumbo za aina tatu, zenye mchanganyiko wa less na seamless, zenye ubora wa hali ya juu kabisa.
π― Grade One Quality β 10/10
βοΈ Zinabana tumbo vizuri na kutoa umbo la kuvutia.
βοΈ Material ni laini, inavutika vizuri na ni comfortable kuvaa muda mrefu.
βοΈ Hazionekani chini ya nguo, hivyo unaweza kuvaa kwa kujiamini wakati wowote.
βοΈ Zinafaa kwa matumizi ya kila siku na kwa yeyote anayependa mwonekano nadhifu na wa kuvutia.
ποΈ Tunauza Jumla na Rejareja.
Rejareja 1pc : 18,000
Jumla kwanzia dozen 1 : please DM
π Tunapatikana Kariakoo, Likoma na Magila, karibu na Kanisa la KKKT.
π Tunatuma mikoa yote ya Tanzania kwa usafiri wa uhakika.
π΅ Ndani ya Dar es Salaam tunafanya delivery karibu maeneo yote.
Usikubali kubaki nyuma wakati mzigo mpya umefika! Chagua quality ambayo haina compromise. Wasiliana nasi leo kuweka oda yako kabla stock haijaisha.
π Quality ya Grade One, huduma bora na bei rafiki β Karibu Chupi Empire!