Carrier CARE

Carrier CARE This is the Forum that we assist the Young Generation to Prosper by Helping them get a clean, competitive and marketable CV.

Karibu sana , piga namba 0782118617 tutakusaidia
31/12/2021

Karibu sana , piga namba 0782118617 tutakusaidia

03/01/2021

Facing challenge to write CV? Get so may applications ans no calls for Interview. Relook on your CV and see if thats the problem.

Most of the people miss the opportunity to get the dream jobs because the CV are worse.

Tunasaidia matatizo ya wasio na CV na pia tunarekebisha zile sisizokidhi vigezo.

☎️☎️ 0782118617

08/11/2020

Sale ya mwezi huu. Tunatengeneza CV mpya na kubadilisha ile uko nayo kwa bei ya punguzo ya 15000 tu.

Wasiliana nasi kwa 0782118617

22/10/2020

Ten Things that you should not include on CV

1.Do not Send an Old CV
2.Avoid Sending a Generic CV
3. Don’t Submit a CV Longer than 2 Pages
4.Spelling Mistakes
5.Generalising and Rambling(Don’t make a sweeping statement without experience or qualifications to back it up)
6.Don’t Highlight Duties, Highlight Achievements
7.Avoid Using Clichés
8.Poor Design/Layout
9.Incorrect Contact Details
10.Don’t Include Fake References

BONUS
11.Apply your skill set to any number of jobs

22/10/2020

K**a CV yako ina haya mambo usishangae kwanini huitwi kwenye interview kila ukiapply

1.K**a kuna gap kati ya Work Experience na Personal Profile
mara nyingi watu hutoa profile zao kwa kujimwagia sifa tele. k**a sifa zako hazitafanana na kazi ulizokua unafanya(work Experience) bhas itaharibu chances za kuitwa kwenye interview au Kushind.

2. k**a CV yako ni zaid ya page 3. CV inapokua ndefu sana ni ya uongo. Mwajiri wako anaona umeweka mpaka mambo yasiyo ya msingi.

3.Lack of direct Work Experience. Ukiwa unaandika usizunguke hasa yale majukumu uliokua unafanya. Be Straight to the point

Kuwa makini sana na haya mambo kabla ya kuandika CV yako.

kwa saada zaid karibu tukusaidie kukuandikia CV ya kitaalam kabisa itakayokufanya uonekane haraka katika ulimwengu huu wa ushindani.

Kwanini upate tabu, Unaomba kazi na hauipati nafasi ya kuitwa kwenye interview? umekua Frustrated? sit back, sisi tutafa...
22/10/2020

Kwanini upate tabu, Unaomba kazi na hauipati nafasi ya kuitwa kwenye interview? umekua Frustrated?

sit back, sisi tutafanta hilo. tuma CV yako kwa [email protected] na tutakurekebishia kwa bei poa kabisa.

08/10/2020

Vijana, swala laajira limekua ni swala mtambuka sana, wengi tunakosa ajira kwasababu CV zetu hazituelezei kwa undani. Je, unahitaji kusaidiwa kwa swala hilo? Karibu sana tukusaidie

07/10/2020

Ulimwengu wa sasa vijana wengi wanakosa ajira kwasababu tu wanashindwa kuandika CV inayomshawishi mwajiri ampe ajira.

Tumeamua kuzaidia vijana wenye hio changamoto na kufanya wao wawe na sifa za kuitwa kwenye interview. Tuwasiliane tukusaidie

06/10/2020

Hello Young Generation. Hii ni page maalum sana kwaajili ya msaada wa kuandikiwa CV yenye mvuto kwa waajiri na ushauri namna gan ya kujibu maswali kwenye interview.

kwa mawasiliano please contact me at +255782118617

Address

P. O Box
Kawi
2255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Carrier CARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share