CEO Isack Mathias JR

Call Directions Website Contact the business

CEO Isack Mathias JR Kila jambo lina majira na nyakati. Usichoke kusubiri

27/08/2025

Hii ni ya kujifunza wazazi

27/08/2025
Unamshauri nini Mdau wetu ambaye hawako vizuri na Mkewe kwa takriban Miezi 7 hata baada ya kujaribu kusuluhisha? Ungekuw...
06/02/2025

Unamshauri nini Mdau wetu ambaye hawako vizuri na Mkewe kwa takriban Miezi 7 hata baada ya kujaribu kusuluhisha?

Ungekuwa wewe kwenye nafasi yake ungefanya nini?

Shiriki Mjadala huu uliopo Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi, Urafiki au bofya https://jamii.app/UshauriKwaMdau

Nawakumbusha Tu kuwa Wazee wa zamani walikuwa wanaweka chura hai kwenye maziwa ili yasiharibike kwaiyo Ambao Hamna Mafri...
04/02/2025

Nawakumbusha Tu kuwa Wazee wa zamani walikuwa wanaweka chura hai kwenye maziwa ili yasiharibike kwaiyo Ambao Hamna Mafriji Chukueni Hii Shule👊

Inasadikika kuwa enzymes zilizopo kwenye ngozi ya chura zilikuwa na uwezo wa kuzuia ukuaji wa bakteria, hivyo kusaidia maziwa yasiharibike. Ingawa leo tuna teknolojia k**a majokofu, ni ajabu kufikiria mbinu za asili ambazo zilikuwa na ufanisi wao.

HILI SOMO NIMEKUTANA NALO X(Twitter) HIVYO BADO NAHITAJI MAONI ZAIDI HAPA

04/02/2025

We pray for DRC Congo

Address

Mtemihamenyimana2016@gmail. Com
Kibaha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CEO Isack Mathias JR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CEO Isack Mathias JR:

Shortcuts

Share