Wefwefew

Wefwefew Welcome to the next level,always the success come by working hard

10/05/2022

Usikasirike kwa sababu HAUJASHIRIKISHWA jambo.

Kuna wakati unashangaa mtu anafanya jambo ambalo kwa kiwango cha mahusiano yenu uliamini alipaswa kukushirikisha.

Wakati mwingine mtu anafanya uamuzi na ulitamani angekuhusisha...
..hata k**a usingebadilisha kitu ila ungeoona amekuheshimu.

Yakitokea mambo k**a haya, USIWAKASIRIKIE.

Huwa kuna sababu mbili kubwa:

Moja, kuna mzigo Mungu anakuepusha nao.

Wangekushirikisha kuna gharama ingebidi uingie kwa ajili yao.

Wakati mwingine kwa sababu ya kushirikishwa, ingebidi utumie PESA, MUDA au NGUVU zako ili kuwabeba.

Kwa sababu hawajakushirikisha, wamekupunguzia yote hayo, shukuru.

Mbili, kuna namna Mungu anataka awafundishe kuwa bado wanakuhitaji.

Kitakachotokea ni kuwa wataenda mbele kidogo kisha WATAFELI na watagundua WANAKUHITAJI.

Ungeendelea kuwaambia wewe wasingeelewa, ila kwa yale watakayokutana nayo, watagundua kuwa BADO WANAKUHITAJI.

Usiwakasirikie ukiona hawakushirikishi leo, relax, wape muda, WATARUDI wenyewe.

Jifunze kutogombana na watu kwa sababu haujashirikishwa, wakati mwingine ni kwa faida yako.

Naomba unisaidie kushare na wengine Tafadhali.

See You At The Top

Joel Arthur Nanauka

15/11/2020

Send a message to learn more

    # mungu wetu ni mwema atatupitisha kwenye kipindi hiki kigum, tuendelee kuchukua tahadhar dhid ya Corona virus(covii...
19/04/2020

# mungu wetu ni mwema atatupitisha kwenye kipindi hiki kigum, tuendelee kuchukua tahadhar dhid ya Corona virus(coviid 19)🙏

27/01/2020

Mataifa 12 yatakayoingiza timu 4 klabu bingwa & Shirkisho 2021

🇲🇦Morocco ≥160
🇹🇳Tunisia ≥135
🇪🇬Egypt ≥127
🇨🇩DR Congo ≥83
🇩🇿Algeria ≥73.5
🇿🇦South Africa ≥68.5
🇿🇲Zambia ≥38
🇬🇳Guinea ≥33
🇳🇬Nigeria ≥31.5
🇸🇩Sudan ≥29.5
🇦🇴Angola ≥26
🇱🇾Libya ≥16.5
------
❌🇹?? Tanzania-14

na page ya .

great minds discuss ideas,average minds discuss events ,small minds discuss people
26/01/2020

great minds discuss ideas,average minds discuss events ,small minds discuss people

Address

Kisimu
Kibaya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wefwefew posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wefwefew:

Share