16/06/2023
NOW Tupo KIGAMBONI (KIBUGUMO) MSIKITINI Kwa client yetu Hapa tuna husika kuandaa mfumo wa umeme Kwa hatua ya kwanza PHASE ONE
Tunaanza Kwa kufanya plan circuit , design, kutindua, kujenga box na dropping conduit pipe
Nb: phase ya kwanza ndio msingi wa mfumo wa umeme ndani ya jengo lako hivyo inakupasa kujua mahitaji yako ni yapi ili kuepuka kuvunja nyumba yako Baada yakuwa umsha fanya finishing
Kwa huduma na ushauri
Call & Whatsapp
0678_85_45_85
0759_08_11_63
KAVANGA FUNDI UMEME