MudyBlack

MudyBlack Ukurasa huu wa mchekeshaji mudyblac Airuhusiwi kupost picha/video za ngono siasa kutukana au kukashfu Dini ya aina yoyote? endapo utaenda kinyume na hayo?

Basi Sheria itachukuwa mkondo wake. Nyote mnakaribishwa

29/12/2020
16/12/2019

Follow link kwa b.I.o yake

06/10/2019

JAMAA: hivi honey kabla yangu ulikuwa na wanaume wangapi

DEMU: kimyaa

JAMAA: akauliza tena honey kabla yangu ulikuwa na wanaume wangapi

DEMU: kimyaaaa

JAMAA: akawaka kwa hasira inamana unanidharau kiasi icho nakuuliza unanikalia kimya

DEMU: sindo nilikuwa nawaesabu kimya kimya ona sasa ushanipoteza nilikuwa nshafika 87 ngoja nianze upya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

USISAHAU KULIKE PAGE YETU Vitamin CoVitamin ComedyVitamin Comedy

04/10/2019

Mi mwenyewe sielewi 😂😂😂

Usisahu ku subscribe YouTube chenel yetu LINK ON MY B.I.O

Like page yetu
27/09/2019

Like page yetu

Address

Kigamboni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MudyBlack posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MudyBlack:

Share

Category