Ranga agroenterprise

Ranga agroenterprise Tunauza vifaranga vya kuku chotara aina ya kuroila kwa bei nafuu sana, tupo morogoro mjini na mikoani tunatuma

04/04/2025
Dcp za unga  1kg,½kg na 25kgJumla na reja reja0753607760
06/09/2024

Dcp za unga
1kg,½kg na 25kg
Jumla na reja reja
0753607760

Kwa mayai mengi, makubwa na ya njanoTumia ACHI EGG FORMULAR.Jumla na reja reja Tupigie  au whatsap 0753607760
06/09/2024

Kwa mayai mengi, makubwa na ya njano
Tumia ACHI EGG FORMULAR.
Jumla na reja reja
Tupigie au whatsap 0753607760

Happy valentine day my love, i trust yo steps
14/02/2020

Happy valentine day my love, i trust yo steps

28/09/2019

Jifunze kila siku kwa wengine

Mara nyingine tena tuko hewan n makala yetu ya maisha kila siku.Story yanguNi kweli mimi sikupenda shamba nkiwa mdogo kw...
04/06/2019

Mara nyingine tena tuko hewan n makala yetu ya maisha kila siku.

Story yangu
Ni kweli mimi sikupenda shamba nkiwa mdogo kwa saba niliona ni kazi ngumu sana na ya kuchafuka, siku nyingine nilisingizia kuumwa ili nisienda shamba ila mama na kaka walipotoka shamba walinikuta nimepona na kazi nimefanya zote.

Nilipenda shule nlisoma kwa bidii sana na mama alinisistiza na kunambia bila kusoma wew sjui utakuwa mgeni wa nan?

Ni kweli nlisoma nikafika pale nlipoona panatosha nkarud mtaani yaan huku kwetu ni kijijin na cheti sina kaz. Niliamua kurud mjin kutafuta kazi kwa vile niliamin ninacheti ila sikupata kaz na kikata tamaa.

Miaka ilikuwa imeenda sana hata wenzangu nliomaliza nao la saba waloamua kujikita na biashara au kilimo k**a sehemu ya kutokea walikuwa mbali.

Niliamua kwenda kwa rafiki yangu Agnes ambaye yeye aliishia la saba tu lakini ana kampuni yakr nzuri, magar na majumba mazuri pia kumuuliza alifanyaje?

Agnes alinambia yeye alipofeli la saba alianza kilimo pale nyumba k**a chakula cha nyumban na baadaye kaka yake alimwambia walime kwa ajili ya kuuza iwe k**a biashara yao.
Walipoona kuna hela nyingi pale waliamua kupanua mashamba na mwshowe wakakusanya kwa wakulima wengine kuwaongezea wakulima wengine kipato,

Nilitoka kwa Agy nikiwa na furaha kwani nliona hata mimi naweza k**a ntathubutu.

Story by Irene nyakiema.

26/03/2018

Asante Mungu kwa siku ya leo.

ebu tufikirie hili swala kwa pamoja mwenye wazo tofauti toa wazo lako ili sote tujifunze.

Hivi ni kwanini kila mmoja hutafuta maisha ila wachache ndo hufanikiwa na kuwa na mafanikio makubwa????

katika utafiti wangu mdogo nmeona watu wengi tunatafuta mkate wa siku tu na sio mkate wa leo, kesho na kesho kutwa. maana yangu ni hivi watu tulio wengi tukipata elfu kumi hata bajet itaongezeka kwa hiyo siku, nitanunua vitu vingi ambavyo vingine havina kaz kiukweli.

pia watu tuliowengi tunaogopa hasara, tukijaribu kitu tukaona hasara tunakata tamaa na kuacha. njia ya mafanikio ina vikwazo vingi sana lakin vyote kwa pamoja vnakufanya ujue jinsi ya kutatua matatizo makubwa ya hayo.

kukosa malengo ya moyoni ila tunakuwa na malengo ya mdomoni au tamaa.maani malengo ya moyoni huwa lazima yafanikishwe hata k**a njia ni ngumu kiasi gani.

achia wazo lako pia

21/03/2018

karibu upate offa ya pasaka kwa bei nafuu

21/03/2018

pata offa ya pasaka kwa bei nafuu

08/02/2018

Habari ndugu zangu,

natumaini wazima na tunaendelea kupambana na ujenzi wa taifa. Tukiwa tunapambana kila mtu ana njia zake anazozipitia ili kutimiza ndoto zake, lakini je tushawahi kujiuliza kwa nini tunatumia mda mwingi kutimiza na kupata ufumbuzi?

Bhas zingatia haya...

Usiishie kushangaa mali za mtu aliyefanikiwa au anaye elekea mafanikio, jifunze njia anazopitia kwa kutazama mipango yake, maamuzi yake, uthubutu wake, jitihada zake na jinsi anavyo tatua changamoto anazopitia, ili siku moja utakapoamua kuchukua hatua za kuishi ndoto zako k**a yeye, uwe unajua njia za kupitia,

usimshangae na kumpiga majungu, mfuate na kumuuliza maswali ili kujifunza,

andika unayojifunza ili kujazia pale ambapo ulikua unahitaji kujazia juu ya yale unayojua, au kuweka kumbukumbu zitakazokusaidia wakati wa kuanza kusimama mwenyewe katika mipango yako...

kujifunza ni kila siku na kila mara kwahiyo usiogope,

ila usiishie kujifunza na kuendelea kuota mafanikio bila ya kuchukua hatua...STOP STEARING. LIVE YOUR DREAM

Address

Kimara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ranga agroenterprise posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share